Hivi erythrocyte yuko wapi jamani!?..mwenye mawasiliano nae atujuzeHawajielewi zama zao zimefika mwisho.
Kila wanachofikiri kwamba kinaweza kuwa wanaweza tokea, wanajikuta waharibu zaidiSawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini zao hiyo kwasaa umechelewa maana mauaji hayakuchagua dini wala maandamano hayakua ya dini yoyote wote walipigwa risasi sasa kalata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa kwenye shimo kubwa kabisa na kushindwa kutoka Tuombe uzima
dalili za kupaniki udini unatumiwa na watu walioishiwa hojaHuyu mama na watu wake jamani sijui ufikiriaji wao ukoje? Hii si karata waliyoitumia kabla ya uchaguzi? Imewasaidia nini? Hivi wanajua kuwa hao masheikh ubwabwa hakuna anayewasikiliza siku hizi? Waislam sisi tunafata dini na si mtu. Wrong move as always.
Uzuri GenZ wao wanataka Haki na wala GenZ sio watu wa Msikitini wala kanisani walianza kuja Hoja za udini naona zimekufa kibuduGen z na dini wapi na wapi si waendaji msikitini wala kanisan kuwaleta katk mwamvuli wa dini ni kazi bure gen z wana amin ktk Mungu ila muda wa kuanza kusikiliza viongoz wa dini wanaopayuka hawanaga
Si aliaga pale Mlimani City baada ya kupigwa chini kuwa anaenda kutafuta mafekechee au umesahau mkuu? Yupo anabunya taratibu zile b12 alizopewa na mama Dully, nyie mnaokomaa kumsifia mama Dully mpo mnapiga miayo tu hadi vinywa vinatoa uvundo.Hivi erythrocyte yuko wapi jamani!?..mwenye mawasiliano nae atujuze
Nisanue,ilinipita hii,yaani!?Si aliaga pale Mlimani City baada ya kupigwa chini kuwa anaenda kutafuta mafekechee au umesahau mkuu? Yupo anabunya taratibu zile b12 alizopewa na mama Dully, nyie mnaokomaa kumsifia mama Dully mpo mnapiga miayo tu hadi vinywa vinatoa uvundo.
Sikuwahi kujua kuwa kumbe huyu "mtu" ni empty headed kiasi kile...unawatumiaje BAKWATA??Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini zao hiyo kwasaa umechelewa maana mauaji hayakuchagua dini wala maandamano hayakua ya dini yoyote wote walipigwa risasi sasa kalata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa kwenye shimo kubwa kabisa na kushindwa kutoka Tuombe uzima