Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.
Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?
If that is a case,And vice versa should be true.
Mapabano ndio yanaanza,yanini kuchuma dhambi ya kuteketeza nchi yetu na vizazi vyetu?Nijuavyo mimi huwa wanawahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura ili kubadilisha matokeo hasa sehemu zenye upinzani mkubwa kwa CCM.
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.
Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?
Nijuavyo mimi huwa wanawahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura ili kubadilisha matokeo hasa sehemu zenye upinzani mkubwa kwa CCM.
Solution ya hiyo ni rahisi inabidi wapiga kura waelimishwe kupitia wagombea ubunge na diwani kuwa anapomaliza kupiga kura akunje karatasi kiupande, yaani asikutanishe/zisigusane picha za wagombea.Hapo mtamaliza mchezo kiulani.Hii si kazi ya SLAA IFANYWE NA Wabungena madiwani.Kwa kuwa picha ya kikwete na slaa zitakuwa karibu(adjucent) zisikutanishwe ili kukwepa madini yaliyoko kwenye kisanduku cha JK.
Pia wawe makini kukagua DARI ZA CHUMBA AMBAMO MASANDUKU YAMEWEKWA KUNA UJANJA WA MASANDUKU YA KURA HARAMU KUWEKWA DARINI NA KUSHUSHWA WASIMAMIZI WAKIFANYA KOSA LA KUTOKA KUNAKUWA NA MTU DARINI.CHUNGA SANA
kUMBUKA : Hawa jamaa wameanda mbinu zaidi ya 10 tuhakikishe tunapata solution kwa kila moja
Na tick ukiweka kwa JK haihami?