Elections 2010 Karatasi za kura zitakuwa feki

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
853
Reaction score
115
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.

Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?
 
Its true mzee, ni masuala ya technolojia tu!!! kumbuka hata mwaka 2005 JK alishinda kwa kura nyingi lakini baadae kulikuwa na tetesi kuwa kuna jambo lilifanyika wakati wa kupiga kura ambapo kitu kama hicho kinasadikika kutokea.

Tuwe makini kuanzia sasa ili haki ilitendeke.
 
Hakuna lolote! Wanaiba kura wakati wa kujumlisha matokeo ya vituo vingi. Siyo kituoni wala kwa style hiyo. Siamini
 
Ndiyo Mjadala utakaye jadiliwa sana hapa JF baada ya Kikwete kutangazwa kuwa Rais!!!!November sio mbali !!
 
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.

Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?

If that is a case,And vice versa should be true.
 
Hyo sasa ni poa kua tumeipata mapema, cha msingi ni wale mawakala watakao chaguliwa kua makini wakati wa uhesabuji kura.
Mweaka huu ngangari tu!! Nawe unaesema kua Jk atatangazwa kua raisi umejuaje?? ninyi ndo wezi niny!!

Dr slaa twendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Nijuavyo mimi huwa wanawahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura ili kubadilisha matokeo hasa sehemu zenye upinzani mkubwa kwa CCM.
 
hIZI KARATASI INABIDI ZIFANYIWE AUDITING KABLA YA KUTUMIKA CHADEMA AMUKA NEC SIO HURU HATA KIDOGO
 
Nijuavyo mimi huwa wanawahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura ili kubadilisha matokeo hasa sehemu zenye upinzani mkubwa kwa CCM.
Mapabano ndio yanaanza,yanini kuchuma dhambi ya kuteketeza nchi yetu na vizazi vyetu?
 
Kanzi aka Enigma yuko wapi nasikia kanaruka ruka UK sehemu za Birmingham kukusanya data tunamsubiri kwa hamu atupe data ya kilichojiri huko
 
Solution ya hiyo ni rahisi inabidi wapiga kura waelimishwe kupitia wagombea ubunge na diwani kuwa anapomaliza kupiga kura akunje karatasi kiupande, yaani asikutanishe/zisigusane picha za wagombea.Hapo mtamaliza mchezo kiulani.Hii si kazi ya SLAA IFANYWE NA Wabungena madiwani.Kwa kuwa picha ya kikwete na slaa zitakuwa karibu(adjucent) zisikutanishwe ili kukwepa madini yaliyoko kwenye kisanduku cha JK.

Pia wawe makini kukagua DARI ZA CHUMBA AMBAMO MASANDUKU YAMEWEKWA KUNA UJANJA WA MASANDUKU YA KURA HARAMU KUWEKWA DARINI NA KUSHUSHWA WASIMAMIZI WAKIFANYA KOSA LA KUTOKA KUNAKUWA NA MTU DARINI.CHUNGA SANA

kUMBUKA : Hawa jamaa wameanda mbinu zaidi ya 10 tuhakikishe tunapata solution kwa kila moja
 
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.

Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?

Na tick ukiweka kwa JK haihami?
 
Nijuavyo mimi huwa wanawahonga mawakala wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura ili kubadilisha matokeo hasa sehemu zenye upinzani mkubwa kwa CCM.

Unakumbuka habari ya George Bush na Al Gore. Teknolojia ilileta shida!
 
Solution ya hiyo ni rahisi inabidi wapiga kura waelimishwe kupitia wagombea ubunge na diwani kuwa anapomaliza kupiga kura akunje karatasi kiupande, yaani asikutanishe/zisigusane picha za wagombea.Hapo mtamaliza mchezo kiulani.Hii si kazi ya SLAA IFANYWE NA Wabungena madiwani.Kwa kuwa picha ya kikwete na slaa zitakuwa karibu(adjucent) zisikutanishwe ili kukwepa madini yaliyoko kwenye kisanduku cha JK.

Pia wawe makini kukagua DARI ZA CHUMBA AMBAMO MASANDUKU YAMEWEKWA KUNA UJANJA WA MASANDUKU YA KURA HARAMU KUWEKWA DARINI NA KUSHUSHWA WASIMAMIZI WAKIFANYA KOSA LA KUTOKA KUNAKUWA NA MTU DARINI.CHUNGA SANA

kUMBUKA : Hawa jamaa wameanda mbinu zaidi ya 10 tuhakikishe tunapata solution kwa kila moja

WHat id hizi karatasi watasema nyote mnakunja with same format? au as per instructions?
 
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.

Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?

Cha kufanya ni kwamba badala ya kukunja vertically kunja horizontally au kunja kwa kupishanisha hivyo viboksi!!
 
Back
Top Bottom