QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata tetesi kuwa zinatengenezwa bondeni (south Africa) na kuwa ni feki kama za wachina.
Uvumi wenyewe ni kuwa Vile viboksi vya kutia vema vya Dr. Slaa na JK vinatizamana baada ya kukunja. So ukimpigia Slaa, ukakunja ile tick iliyo kwa Slaa itahamia kwa Jk. Je hii inaweza kuwa kweli? kama ni kweli nini kifanyike?