Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

Karate tamu japo sijajifunza effectively ni maeneo flani nami nikasema nijiunge but sio official

Sasa kwa zile Basic na kata mbili nilizo jifunza kiukweli naweza mkabili mzembe mzembe na nikamuweka chini vizuri.

Kuna teke moja ilo nalijubali Sana nafikiri linaitwa Yoko Geri kikome yaani unampiga MTU chuma wakati umeangalia mbele kwa kugeuka haraka.

Nilimtwika moja tu maeneo itovu jamaa akasema Basi baba pale ndy nikasema alaaaaa kumbe mzigo unapiga kazi
Ahahahahhaha.
Ulikuwa unatest mitambo
 
Unajua Muay Thai imejaribu kuondoa techniques nyingi sana za hatari za Muay Boran yenyewe pure kwa ajili ya mashindano mpaka imekuja kutumiwa kama kick boxer.

Ila ile MuayBoran halisi kabisa (traditional) iliyotumiwa na jamaa kama sanaa ya kujihami vitani wakati wakipambania Uhuru imegawanyika ki kanda kwendana style zake.

Muay Chaiya, Muay Korat, Muay Lopburi na Muay Thasao ni style tofauti sasa wapo waliochanganya hizo sasa ukute huyo mtu anapractice na tae kwondo au krav maga HAFAII.
Jf tunaweza kila kitu na kuna all professional
 
mkuu KRAV MAGA motooooo
 
BOLLEY KICK
0a8262a85a5b9743ab25e5cfdf68a8d620183e84_hq.gif
 
Sasa iyo teke ukitaka imuingie mtu Inabidi ucheze nae alafu unavizia Kama unaangalia pembeni ivi ndo unaipiga....alafu Kuna moja iko kwenye taikwondo inaitwa bolley kick...aisee ina mvuto wa kimapenzi hatari...Yani ukiwa mbele ya demu wako afu Kuna fala kajipitisha ukiipiga ile lazima ukawekewe maji ya kuoga yaliyoungwa
[emoji3516][emoji3516]
 
Mkuu Sandali Ali anza sasa kufanyia promosheni ya huo mchezo ili uanze kupata wafuasi, ili hatimaye muanzishe chama cha karate hapa nchini.
 
Back
Top Bottom