Mi kwa nlivosoma soma sehemu nimesikia kung fu ni risk sana yani kung fu ukiwa hauko deep ni rahisi kupigwa kama mtoto tofauti na karate. Ila kung fu ukimkuta master ni untouchable anaweza kukumaliza sekunde chache sana. Pia kung fu ni spiritual zaidi tofauti na karate yenyewe sio sana.Kung fu na karate ipi bora
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app