Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

Kung fu na karate ipi bora
Mi kwa nlivosoma soma sehemu nimesikia kung fu ni risk sana yani kung fu ukiwa hauko deep ni rahisi kupigwa kama mtoto tofauti na karate. Ila kung fu ukimkuta master ni untouchable anaweza kukumaliza sekunde chache sana. Pia kung fu ni spiritual zaidi tofauti na karate yenyewe sio sana.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Naona kama ninjitsu ndo uhakika zaidi kwa martial arts ila iwe ile yenyewe hasa.

Maana MMA na hao kina Aikido, Haipkido n.k bado kuna udhaifu fulani
 
Na kitu cha kwanza kabisa hapo ni Mungu ulinzi wake pia uwe na haki namatendo mema ukumbuke kusali na kushika amri zake ,la utakufa tu mbwa wew[emoji23]
Na ndiyo maana kuna sehemu moja chomboni kuna ki msemo kinasema mlinzi namba moja ni Mungu, mlinzi namba mbili ni CDO
 
Ni kwanini Wacheza Karate mkishikiwa tu Mawe huwa mnatoka baru / mbio? Kwani hizo Karate zenu mlizojifunza Vichochoroni au hata sehemu rasmi hazijawapa Mbinu za kukwepa Mawe? Nasubiri Majibu yako tafadhali juu ya hili ( haya ) niliyokuuliza hapa.
 
Ni kwanini Wacheza Karate mkishikiwa tu Mawe huwa mnatoka baru / mbio? Kwani hizo Karate zenu mlizojifunza Vichochoroni au hata sehemu rasmi hazijawapa Mbinu za kukwepa Mawe? Nasubiri Majibu yako tafadhali juu ya hili ( haya ) niliyokuuliza hapa.
Am currently coming
 
Hapa umedanganya
Yuko sahihi..Karate imetokea visiwa vya Okinawa Japan ambapo wanazuoni wake walijifunza kutoka kwa walimu wa Kungfu wa China. Walichofanya ni kuongeza baadhi ya vitu kulingana na mazingira yao.
 
Mkuu Sandali Ali anza sasa kufanyia promosheni ya huo mchezo ili uanze kupata wafuasi, ili hatimaye muanzishe chama cha karate hapa nchini.
Chama/vyama vipo
 
hahhahhaha...daaah aiseeh🀣🀣🀣
 
Kung fu nayo inavipengele duuh; Eagle craw, snake fist, iron fist, snake in the monkey shadow, one armed boxer, drunken tai chi, deadly leg, Tiger craw, Cow bow....Mmmmmh wachina kama huwa hawatulishi matango poli sijui!! Huwa nainjoi movies zao sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We kiazi unasema karate laini..??..hivi wewe zoezi la sakatobe tu nakuhakikishia utakimbia...na amsure ume Google hiyo michezo..boxing nao ni mcheza wa kuamini kua unajilinda nao!??...asa judo SI mcheza wa kina mama tu...🀣🀣🀣....huo lower acrobatic ndo mchezo gani....dah vitu vingine Kama hujui kaa kimya tu mkuu
 
Karibu moro mkuu uone km nimegoogle au la?
Ukifika ulizia chief ,kuanzia magadu hd mzinga karibu nyumbani tunywe chai pamoja tubadilishane tuliyonayo
 
Kuna wakati nilijisajili kwenye darasa la karate nilienda siku kadhaa nikaacha kwa kuzidiwa na majukumu ya kifamilia
Ila nitarudi kuendelea kwa kweli ngoja nipate muda
 
Ninja assassins, dah ningekua na uwezo wa hawa jamaa, nisingehangaika na hawa viongozi wetu. Kiongozi mzinguaji napiga tu X kubwa kwenye picha yake
dah!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nakusalimu kwa Jina la Karate πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…