TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Huyu ni mmoja ya nguzo za Ccm kuendelea kuwatawala kupitia dini imeondoka, kwa upande wa Roman Catholic Ccm kwa sasa haina pandikizi, waongeze nguvu zao Bakwata.

Tec ya sasa siyo ya Pengo, inakabia juu kabisa.

Ni wakati sasa wa Vatican kuachana na urasimu papa The holy see atoke Vatican aje kumzika Kadinali wake Tanzania.

Nina imani Papa leo bado ana nguvu kusafiri siyo issue kwake.
Mfalme huzika mfalme mwenzie. Cardinal ni msaidizi wa Papa. Hususan pale ambapo Papa anaassume role kama Askofu wa Roma na Makardinali kama Parish Priests wa Parishes za Roma.

Otherwise Makardinal ni Papa watarajiwa hivyo kuwa washauri wakuu wa Papa. Kwa maana hiyo, Papa hawezi kuja kumzika Mshauri au msaidizi wake isipokuwa Papa akifariki lazima wasaidizi na washauri wake waende kumzika. Mfalme huzika Mfalme mwenzie
 
Wee jamaa ni mwendawazimu kweli
Waliuwawa nyumbani walikuwa na kosa gani

Damu za watu zitawafanya wendawazimu wote mliohusika mpaka yule Jezebel mnywa damu
Waliouliwa majumbani mwao waliponzwa na vijana waliofanya ujinga mtaani wakaenda kujificha majumbani wakidhani wameshasalimika.

Damu imemwagika kuanzia mababu zetu waliotolewa Kigoma wakaletwa Dar kwa miguu wakiwa wamefungwa minyororo shingoni, wengi wakafia njiani.

Damu walimwaga Namibia waliouwawa watu milioni zaidi ya 20 na Wabelgiji lakini mpaka kesho damu hiyo haijawaathiri Wabelgiji, wanaendelea kuwa na uchumi mkubwa kuliko sisi waafrika wengi tuliouliwa kwa uonevu bila kosa lolote.
 
ushidi gan sasa.
Wakati ulichoandika kinajieleza ndo ushahid tosha.

Labda wew utupe huo ushahidi kuwa kuna moto jehanam kwa wadhamb dunian

Ushahidi wa Jahannam unatokana na imani katika ufunuo wa Mungu. Mimi naamini Qurani ni neno la Mungu, na ndani yake Mungu ametaja Pepo na Moto waziwazi.

Na hata katika Biblia pia kuna mafundisho ya jehanamu. Kwa hiyo dhana ya Moto si ya Uislamu peke yake.

Kama unaikataa Jahannam, basi kwanza unapaswa kuonyesha kuwa Mungu hayupo au ufunuo Wake si wa kweli.

Kwa sababu kama Mungu yupo na ni Mwadilifu, lazima kuwe na hukumu ya mwisho — na hapo ndipo Pepo na Moto vinakuwa na maana.

Sisi hatuwashi moto. Hukumu ni ya Mungu.
 
hiki kitabu mweny akili akikisoma atagundua kunaunafk umeandkwa na si njia ya kumfanya aishi kwa upendo na matendo mema kama njia ya kumwepusha na huo moto muaminishwao. Utazan nyie ndio mlio uwasha jehanam.​

MNAPUMBAZWA​

Kijana
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa Qur’ani ni kitabu cha mwongozo kwa Waislamu, kama ambavyo Biblia ni mwongozo kwa Wakristo. Aya nilizotaja zinatoka katika Qurani (kama vile Surah Al-Bayyinah 98:6 na Al-Ma’idah 5:72–73). Aya hizi zinaelezea mtazamo wa Kiislamu kuhusu imani ya Mungu na dhana ya Utatu.

Katika Uislamu, dhambi kubwa zaidi ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu (shirk), kwa sababu msingi wa imani ni tauhidi – Mungu Mmoja wa pekee. Ndiyo maana Qur’ani inasisitiza hilo. Haimaanishi kwamba Waislamu wanachukia Wakristo au wanataka mtu aingie motoni; bali inaeleza tu kwa mujibu wa imani yake kile kinachoonekana kuwa sahihi au kosa mbele ya Mungu.

Kila dini ina mafundisho ya wokovu na adhabu. Hata katika Ukristo kuna mafundisho kuhusu hukumu na jehanamu kwa wasiomwamini Mungu kwa namna fulani. Hivyo si jambo la kipekee kwa Uislamu.

Pia Qur’ani inafundisha maadili mema, huruma na uadilifu. Kwa mfano, inasema:
“Wala msibishane na Watu wa Kitabu ila kwa njia iliyo bora…” (29:46).
Hii inaonyesha kwamba mazungumzo yanapaswa kuwa kwa heshima.

Sisi hatuwashi Jahannam wala Pepo – hayo ni katika mamlaka ya Mungu. Kazi ya muumini ni kuishi kwa wema, haki na kumwabudu Mungu kwa mujibu wa imani yake.

Mwisho, tofauti za kiimani hazipaswi kuondoa heshima ya kibinadamu. Tunaweza kutokubaliana, lakini bado tukaheshimiana na kuishi kwa amani.
 
Ushahidi wa Jahannam unatokana na imani katika ufunuo wa Mungu. Mimi naamini Qurani ni neno la Mungu, na ndani yake Mungu ametaja Pepo na Moto waziwazi.

Na hata katika Biblia pia kuna mafundisho ya jehanamu. Kwa hiyo dhana ya Moto si ya Uislamu peke yake.

Kama unaikataa Jahannam, basi kwanza unapaswa kuonyesha kuwa Mungu hayupo au ufunuo Wake si wa kweli.

Kwa sababu kama Mungu yupo na ni Mwadilifu, lazima kuwe na hukumu ya mwisho — na hapo ndipo Pepo na Moto vinakuwa na maana.

Sisi hatuwashi moto. Hukumu ni ya Mungu.
naamin uwepo wa Mungu yaan chanzo, na hukumu zake ila sivo kama mnavoamin nyie wadini kwa kuokopeshwa
 
"Alifika mahali linapozama jua akalikuta linazama katika chemchemi ya tope jeusi" (Surah Al-Kahf 18:86)

Jagina njoo uniambie uongo wa hiki kifungu, kinachopatikana kwenye Quran tukufu.
 
Kama unaamini kuna Mungu na hukumu yake, basi tayari unaamini kuna uwajibikaji mbele Zake. Sasa swali ni: Mungu huyo amewaacha watu bila mwongozo au ametuma ufunuo?

Katika Biblia imeandikwa:

Waebrania 9:27 “Wanadamu wamewekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.”
Yohana 17:3 “ uzima wa milele ni huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli…”

Biblia yenyewe inazungumzia hukumu na kumjua Mungu wa pekee.

Na katika Qurani (3:85) inasema kuwa dini inayokubaliwa mbele ya Mungu ni kujisalimisha Kwake (Uislamu — maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu).

Sasa kama unasema unaamini Mungu na hukumu yake, lakini hukubali ufunuo wowote, una uhakika gani kuhusu hukumu hiyo?
Unajuaje anachokitaka Mungu bila mwongozo Wake?

Hoja si “kuogopeshwa,” bali ni: Je Mungu ameongea au hajaongea? Kama ameongea, basi maneno Yake ndiyo marejeo.
 
swali hilo limeulizwa zaidi ya mara 1000 na pia kuna thread sijui ngapi , na mote mlijibiwa kwa urefu , hata hivyo kwa ufupi nakuwekea jibu hapa chini .

Aya ya Qurani 18:86 haisemi jua kimsingi linazama kwenye tope, bali inasema “alikuta (akaona) linazama katika chemchemi ya tope” — yaani kwa mtazamo wake (Dhul-Qarnayn).

Ni maelezo ya kile alichokiona kwa macho yake, si tamko la kisayansi kuhusu mzunguko wa jua.

Hata katika Biblia kuna lugha ya mtazamo wa kibinadamu:

Mhubiri 1:5 — “Jua lachomoza, jua lachwa…” Yoshua 10:13 — “Jua likasimama…”

Biblia inatumia lugha ya mwonekano (phenomenological language), si maelezo ya kiastronomia. Vivyo hivyo Qurani inatumia lugha inayoeleweka kwa mwanadamu.
Kwa hiyo kama tunakubali Biblia inatumia lugha ya mwonekano bila kuwa kosa la kisayansi, basi iwe haki kukubali Qurani pia inatumia mtindo huo huo wa maelezo.

Hoja hapa si uongo, bali namna ya lugha ilivyotumika.
 
Kama unaamini kuna Mungu na hukumu yake, basi tayari unaamini kuna uwajibikaji mbele Zake. Sasa swali ni: Mungu huyo amewaacha watu bila mwongozo au ametuma ufunuo?

Katika Biblia imeandikwa:

Waebrania 9:27 “Wanadamu wamewekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.”
Yohana 17:3 “ uzima wa milele ni huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli…”

Biblia yenyewe inazungumzia hukumu na kumjua Mungu wa pekee.

Na katika Qurani (3:85) inasema kuwa dini inayokubaliwa mbele ya Mungu ni kujisalimisha Kwake (Uislamu — maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu).

Sasa kama unasema unaamini Mungu na hukumu yake, lakini hukubali ufunuo wowote, una uhakika gani kuhusu hukumu hiyo?
Unajuaje anachokitaka Mungu bila mwongozo Wake?

Hoja si “kuogopeshwa,” bali ni: Je Mungu ameongea au hajaongea? Kama ameongea, basi maneno Yake ndiyo marejeo.
kwanza naomba unifafanulie kwa uelewa wako nomino Mungu.

afu nikujibu
 
Aya ya Qurani 18:86 haisemi jua kimsingi linazama kwenye tope, bali inasema “alikuta (akaona) linazama katika chemchemi ya tope” — yaani kwa mtazamo wake (Dhul-Qarnayn).

Ni maelezo ya kile alichokiona kwa macho yake, si tamko la kisayansi kuhusu mzunguko wa jua.

Hata katika Biblia kuna lugha ya mtazamo wa kibinadamu:

Mhubiri 1:5 — “Jua lachomoza, jua lachwa…” Yoshua 10:13 — “Jua likasimama…”

Biblia inatumia lugha ya mwonekano (phenomenological language), si maelezo ya kiastronomia. Vivyo hivyo Qurani inatumia lugha inayoeleweka kwa mwanadamu.
Kwa hiyo kama tunakubali Biblia inatumia lugha ya mwonekano bila kuwa kosa la kisayansi, basi iwe haki kukubali Qurani pia inatumia mtindo huo huo wa maelezo.

Hoja hapa si uongo, bali namna ya lugha ilivyotumika.
basi litakuwa ni fumbo, nipe maana ya hiko kifungu.
 
kwanza naomba unifafanulie kwa uelewa wako nomino Mungu.

afu nikujibu

Nomino Mungu ni jina linalomaanisha Muumba na Mmiliki wa mbingu na ardhi, anayestahili kuabudiwa peke yake.

Biblia inasema: Book of Deuteronomy 6:4 “Sikia Israeli: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.”

Na pia:

Book of Isaiah 45:5 “Mimi ndimi Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu.”

Na Qurani pia inasema: Quran 112:1 “Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni Mmoja.”

Kwa Hivyo kwa mujibu wa Biblia na Qurani, Mungu ni Mmoja, Muumba wa kila kitu, na anayeabudiwa peke yake.
 
Ni maelezo ya kile alichokiona kwa macho yake, si tamko la kisayansi kuhusu mzunguko wa jua.
hahaha kwani kuna jua fake au jua zipo mbili, nambie hilo jua aloliona kwa macho yake na sitamko la kisayans ni jua lipi?

Sema muddy alitaka kutupga hapo.
 
Nomino Mungu ni jina linalomaanisha Muumba na Mmiliki wa mbingu na ardhi, anayestahili kuabudiwa peke yake.

Biblia inasema: Book of Deuteronomy 6:4 “Sikia Israeli: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.”

Na pia:

Book of Isaiah 45:5 “Mimi ndimi Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu.”

Na Qurani pia inasema: Quran 112:1 “Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni Mmoja.”

Kwa Hivyo kwa mujibu wa Biblia na Qurani, Mungu ni Mmoja, Muumba wa kila kitu, na anayeabudiwa peke yake.
na kwa mtazamo wako wew unaonaje, ukiachana na Quran na Bible.? fikilia
 
hahaha kwani kuna jua fake au jua zipo mbili, nambie hilo jua aloliona kwa macho yake na sitamko la kisayans ni jua lipi?

Sema muddy alitaka kutupga hapo.
Yaani wewe wakati wa jioni huoni jua linazama baharini au hukai pwani? Mudy ndiye Nani ? Au yule alikuwa mchezaji wa Real Madrid, Mudrick ?
 
Back
Top Bottom