Atakuwa kafurahi sana
Wale wakatoriki fake wa buza. Watakuwepo kwenye huu msiba?wakikutana na fr. Kitime (PhD) itakuwaje?Apumzike kwa amani.
Apumzike kwa AmaniPumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika. Tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Apumzike kwa Amani; Amina.
Katika Kristo,
Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFM Cap
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam
CHADEMA wenzako wako bize kuilaumu serikali kwa kifo cha jambazi sugu Banjoo halafu wewe uko huku unauliza maswali ya kijinga??!!.. kajiunge na wenzako kuituhumu serikali kwa kifo cha jambazi sugu.Wale wakatoriki fake wa buza. Watakuwepo kwenye huu msiba?wakikutana na fr. Kitime (PhD) itakuwaje?
Sio Dr Lengo (PhD)?Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika. Tumwombee apumzike kwa amani.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Apumzike kwa Amani; Amina.
Katika Kristo,
Thaddaeus S. Ruwa'ichi OFM Cap
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam
Alikua na udini wa kijingajinga tu zaidi ya udini wa kijinga walio nao wale wavaa magauni wenzie pale bar kurasiniApumzike kwa amani
Mzee alikuwa Smart sana
Tulipenda kumtania sana pale st Joseph enzi za uzee wake
Ukarim wake naufananisha na ule wa father kitima
Punguzeni chuki na upunguani wa kipuuzi, mkuu wa nchi ya TZ anayo haki ya kuishi vizuri na kiongozi mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar.Anamlilia kadinali Pengo?
Sawa ndege Amna shidaAlikua na udini wa kijingajinga tu zaidi ya udini wa kijinga walio nao wale wavaa magauni wenzie pale bar kurasini
Mkuu wa nchi? Alichaguliwa na nani huyu muuJi?Punguzeni chuki na upunguani wa kipuuzi, mkuu wa nchi ya TZ anayo haki ya kuishi vizuri na kiongozi mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar.
hata adui yako siku ya mwisho wako atakuliliaAnamlilia kadinali Pengo?