Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

We Una akili timamu kweli, Dini kazi yake ni Amani, kazi ya kiongozi wa dini ni kusuruhisha whatever the case, ujinga umekujaa
Mimi naona wewe ndio huna akili. Ili msamaha utoke lazima aliyekosea aoneshe kujutia kosa na kuomba msamaha kwa aliyemkosea. Kwasisi wakatoliki kwa mfano, kuungama tu au kuomba msamaha kwa Mungu hakutoshi. Ni la zima uende extra mile kufanya malipizi ya dhambi zako kadri utakavyoshauriwa na muungamishaji. Baadhi ya malipizi yaweza kuwa kuwaomba msamaha uliowakosea physically, kurudisha mali za wizi (kama kosa ni wizi), Kusali sara kadhaa, n.k.
 
Institutions zetu nyingi sio impartial.

Zinafanya maamuzi kutokana na spidi ya awamu iliyopo.
 
Eti za kisiasa, mtu kadhalilishwa hadharani halafu unaleta kichaka cha siasa hapa? Msiba ni lazima alipie uovu wake. Hutaki kaungane naye umsaidie kulipa. Hayo ya CAG yashughulikie wewe kwani mada hii si mahali pake.
 
Mie nilishanawa mikono kwa hao jamaa. Sio watu.
 
Hiyo ripoti ishajadiliwa sana humu wenye mamlaka wakiamua waifanyie kazi wataifanyia na wakiamua waipuuze wataipuuza na huna Cha kuwafanya maana hata kuthubutu kuingia barabaran uwezo hamna sasa unataka watu waendelee kujadili hiyo kitu mpaka lini?
 
Kusamehe ndio lugha ya dini. Dini inayosema lipiza kisasi, huwa wanaishia wapi? Huo sio unafiki. Huo ndio ukristu, ambao Membe pia ni muumini wake. Ingawa kukataa kusamehe pia ni hiari yake
 
viongozi wa dini wanafanya kazi chini ya kivuli cha Mungu ni pendo na samehe ili nawe usamehewe
 
Pengo na Malasusa ni wahuni tu,wapuuzwe.
 
Dini nzuri ina hubiri amani,kusameheana, upendo hao maaskofu wapo sahihi kabisa kuhubiri msamaha kwa aliyekukosea nyie ndio wanafiki mnaopenda chuki, visasi na kukomoana
 
Hata wewe haupo msafi au mwema ndio maana Mwenyezi Mungu amekusamehe hajakuhukumu acha nakala zako za chuki na visasi zilizojaa unafiki
 
Hayo jadili wewe hujakatazwa, usitupangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…