Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Tatizo lenu BAVICHA mnapenda kusikia mnavyoviyaka nuie tu,halafu mnataka uhuru wa kujieleza
Tulieni tuu,sio lazima wote tufikiri sawa
 
Yan unaacha akili yako itawaliwe na maono ya mtu mwingine kisa tu ni kiongozi wa dini? Huna tofaut na wanaomsujudia mfalme Zumaridi
 
Yan unaacha akili yako itawaliwe na maono ya mtu mwingine kisa tu ni kiongozi wa dini? Huna tofaut na wanaomsujudia mfalme Zumaridi
wakati huo wewe unashabikia chama chenye mwenyekiti aisyeamini uwezo wa wengine.

kwanini tunakuwa wanafiki hivi binaadam!!!
 
masahihisho=hakuna mkuu wa mkoa hapa Tanzania anayeitwa makonda.
 
Mkapa muumini wao kakili kumwaga damu za watu 19 huko zanzibar na huenda walimsifu.

Je ni utaratibu wao kuuwa watu ili watubu?

Na ikiwa kila siku kathibitisha hutubia dhambi zile zile miaka nenda rudi hizi toba zitakoma lini ikiwa kila kukicha wanajiingiza kwenye makosa yaleyale?
 

hata rais ni mkatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…