Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kiboko yake ni Gwajima tu.
Mbona kama kauli ni tatanishi?
Mbona kama kauli ni tatanishi?
Yan unaacha akili yako itawaliwe na maono ya mtu mwingine kisa tu ni kiongozi wa dini? Huna tofaut na wanaomsujudia mfalme ZumaridiKizazi kisichopenda ukweli kitakosoa mpaka Viongozi wateule. Dini inatawaliwa na dhana ya IMANI kama huwezi amini katika Maono ya Viongozi wako wa Kidini huna Imani. Ya Kardinali Pengo tuachieni walengwa yatuwashe maaana ndiye mhimili wetu wa Imani na kwa mujibu wa mafundisho kauli za Kidini hazihitaji too much Reason mwishowe Utakufuru.
Baba Pengo tunasema AMINA.
wakati huo wewe unashabikia chama chenye mwenyekiti aisyeamini uwezo wa wengine.Yan unaacha akili yako itawaliwe na maono ya mtu mwingine kisa tu ni kiongozi wa dini? Huna tofaut na wanaomsujudia mfalme Zumaridi
Heheh hilo unaweza kuona kama nineno la sifa ila nitusi lakiakili
Mkapa muumini wao kakili kumwaga damu za watu 19 huko zanzibar na huenda walimsifu.Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo
Mussolin aliondoa baa au balaa la Malaria Katika mji mdogo wa Italia, Kwa mujibu wa kardinal Pengo wakati huo malaria ilitishia maisha ya watu hapo Italia
Kuna mambo mazuri ya Mussolin na Hiltrer hayazungumzwi kwa mujibu wa kardinal Pengo
Pengo amesisitiza darasani watu hufundishwa Hiltrer aliua wayaudi zaidi ya Milioni sita lakini hawataki Kuongelea mazuri ya Hitler
Pengo ameiomba jamii itofautishe kati ya Dictate na neno dictator
Akijenga hoja kuhusu watu wanaomuandika mheshimiwa Rais kuwa ni dictator,amewaomba watafakari upya
Je, kujenga hospital ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Je, watoto kusoma bure wao na wajukuu zao ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Amepongeza uongozi wa Makonda kama moja ya watu vijana wanamsaidia Rais
Aidha Kardinal Pengo amesema alikuwa na hofu Rais wa sasa akimaliza muda wake nani atafaa na kufanya kama Rais wa sasa, Hofu imepungua kuona kuna vijana kama Makonda wanachapa kazi
Kardinal Pengo amesisitiza uwepo wa vijana wachapa kazi kama Makonda na wakijitokeza wengi hana shaka kabisa kazi za Rais zitaendelezwa vizuri
Kwa mujibu wa kardinal Pengo na Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es Salaam amesema haya mambo ya kumuita Rais dikteta anayasoma mitandaoni lakini pia kwa Uzee wake kuna watu wema wanampa taarifa nini kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Mwana Jamii Forum aitwaye "Barafu" ameelezea sana kwenye uzi mmoja jinsi Mussolin alivyoliteka kanisa wakati huo na kukandamiza Raia huko Italia
Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya
Tunaruhusu povu kwa wale wanaowalaumu viongozi wa kikatoliki, Kikubwa Wakatoliki kila jumapili kabla ya kuanza misa hutubu dhambi zao tofauti na wale wanaoanza kukusanya sadaka
Tunapenda kusikia vitu venye logic.Tatizo lenu bavicha mnapenda kusikia mnavyoviyaka nuie tu,halafu mnataka uhuru wa kujieleza
Tulieni tuu,sio lazima wote tufikiri sawa
Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo
Mussolin aliondoa baa au balaa la Malaria Katika mji mdogo wa Italia, Kwa mujibu wa kardinal Pengo wakati huo malaria ilitishia maisha ya watu hapo Italia
Kuna mambo mazuri ya Mussolin na Hiltrer hayazungumzwi kwa mujibu wa kardinal Pengo
Pengo amesisitiza darasani watu hufundishwa Hiltrer aliua wayaudi zaidi ya Milioni sita lakini hawataki Kuongelea mazuri ya Hitler
Pengo ameiomba jamii itofautishe kati ya Dictate na neno dictator
Akijenga hoja kuhusu watu wanaomuandika mheshimiwa Rais kuwa ni dictator,amewaomba watafakari upya
Je, kujenga hospital ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Je, watoto kusoma bure wao na wajukuu zao ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Amepongeza uongozi wa Makonda kama moja ya watu vijana wanamsaidia Rais
Aidha Kardinal Pengo amesema alikuwa na hofu Rais wa sasa akimaliza muda wake nani atafaa na kufanya kama Rais wa sasa, Hofu imepungua kuona kuna vijana kama Makonda wanachapa kazi
Kardinal Pengo amesisitiza uwepo wa vijana wachapa kazi kama Makonda na wakijitokeza wengi hana shaka kabisa kazi za Rais zitaendelezwa vizuri
Kwa mujibu wa kardinal Pengo na Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es Salaam amesema haya mambo ya kumuita Rais dikteta anayasoma mitandaoni lakini pia kwa Uzee wake kuna watu wema wanampa taarifa nini kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Mwana Jamii Forum aitwaye "Barafu" ameelezea sana kwenye uzi mmoja jinsi Mussolin alivyoliteka kanisa wakati huo na kukandamiza Raia huko Italia
Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya
Tunaruhusu povu kwa wale wanaowalaumu viongozi wa kikatoliki, Kikubwa Wakatoliki kila jumapili kabla ya kuanza misa hutubu dhambi zao tofauti na wale wanaoanza kukusanya sadaka
Huyu kiboko yake ni Gwajima tu.
Wamemmaliza nguvu mshengaGwajima yuleee siyo huyu wa kwichi kwichi, sasa hivi wanaimba pambio moja.
Video yake ya muono ndiyo imetumika kumtulizaWamemmaliza nguvu mshenga
Mshenga sasa hivi ana beti nzuri sana za kusifu na kusujudu.Video yake ya muono ndiyo imetumika kumtuliza
Aligawana na KilainiHivi zile za esikurow nae si alikula?
Ndio maana ya tofauti ya mtizamoTunapenda kusikia vitu venye logic.
Sasa huyu kuna maharagwe amekula anaongea hewa.