Kwa njaa hii uliyonayo tukija jumapili najua tutakuta umekula sakramenti zote peke yakoAmen, very soon
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa njaa hii uliyonayo tukija jumapili najua tutakuta umekula sakramenti zote peke yakoAmen, very soon
P
Mkuu samahani waeza nifahamisha Mungu yupi maana wapo Wengi...wanaojiita Mungu... kindly be specifically
Jibu Swali... acha longo longoHimjui Pengo Au humjui Mungu ?
Hata viongozi Wa dini Wa Kenya awafungamani na wanasiasa wanaokiuka haki za watu awampambi mtu hawana unafiki blue uita blue.Sababu mfumo wao Wa maisha hauamuliwi na mwanasiasa.Kanisa katoliki Congo limechangia pa kubwa kumfurusha dikteta kabila aliyetaka kuzidi kukaa madarakani kwa kutokuheshimu katiba na makubaliano ya wakongomani.Kanisa Katoliki DRC iliukataa udikteta wa kabila, Kanisa Katoliki huku TZ inatetea Udikteta. Mimi ndio maana Jumamosi huwa nanywea hela zote nilizonazo ili Asubuhi ya Jumapili niamke sina sadaka.
... kumi jioni!, do you know your time?, chunga kijana..Hana hasara ashamaliza dunia yuko saa 10 jioni.Asikitikii kizazi kilichobaki.Amelelewa ktk mfumo wa udikteta wa kanisa ambapo muumini uruhusiwi kuhoji juu ya mafundisho yeyeto ya kanisa zaidi ya kuyapokea.
Naunga mkono hoja
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
P
Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Unajua tofauti kati ya no ubongo?
Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki