Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Ndio maana kazi zinazohitaji akili na hekima ya Mungu kapumzishwa nazo,... Akili yake imerudi utotoni sasa,..
 
Kanisa katoliki lijitafakari sana.Kama maaskofu wana vyama waumini wao nao wana wana vyama vyao.
.Askofu mkubwa anayeheshimika aliyekuwa akitoa matamko wakati fulani nchi inatikisika anapotoa matamko ya namna hii ni aibu kwa kanisa hata kama atasema ni maoni yake.
 
Kiongozi yeyeto wa dini anayeunga mkono tawala dhalimu huyo ni wakala wa shetani uitaji kumtambua.Mitume na manabii walipingana na madhalimu hata kuhatarisha maisha yao kwa kuihubiri na kusimamia kweli
 
Madikteta wote duniani waliegemea kwa wanyonge. Na wana sababu za kufanya hivyo. Hao wanaoitwa wanyonge, wengi wao hawawezi kuhoji matendo yao mabaya. Hao wanaoitwa wanyonge, wengi wao hawana elimu wala uelewa. Hao wanaoitwa wanyonge, wengi wao huwa wapo tayari kuutumikia unafiki ili mradi tu wapate kula.

Ukiona kiongozi yeyote anatamka kuwa yeye ni kiongozi wa wanyonge, uwe makini. Wengi wao huwa watu wa hila, hulitumia kundi hilo kuficha uovu wao na kutafuta sifa ya kuonekana watu wenye huruma.

Mugabe mambo yalipomwendea vibaya alienda kwa wanyonge, akawafunika akili zao kwa kaniki kwa kunyang'anya mashamba wazungu na kuwagawia wanyonge (leo wanatafuta wawekezaji kwenye mashamba yale yale). Amin alipoingia madarakani, alitamka anataka kuwainua wanyonge, mpaka wakambeba na kumtembeza mitaani kuwa wamepata Rais wa wanyonge. Ndivyo alivyofanya Bokasa, Nguema, na wengine wengi.
 
Hitler aliuwa raia wema milioni 43 ikiwemo wayaudi milioni 6.Inaonekana Pengo anapenda mauaji ya raia wema.Huenda pia Pengo ni shabiki wa Idi Amini sababu alinunua ndege 63.
Mfumo Wa kanisa ni order uruhusiwi kuhoji au kupingwa hivo amejistructure hivo
 
Waumini katoliki ndio mjitafakari.

Pengo Hajui udikteta atawezaje kuufundisha utatu mtakatifu?
 
Kaonyesha kiwango cha juu cha ubinafsi alioonao kwa kutowajali wengine amewahi tamka katiba mpya si kipaumbele chake nadhani sababu akai karibu na waumini wa kawaida asikie maoni yao juu ya tawala hii
 
GUSSIE,
Majina kama vile yanasadifu. Kweli huyu ni pengo. Hata uwe dictator wa kiwango cha mwisho haiondoi uwepo wa mambo mazuri uyatendayo.
 
Mzee pengo tokea amepewa kazi ya uzabuni serikalini yeye pamoja na dada yake akili ilishahama mazima.
 
Gwajiboy ni product ya siti, alikuwa anampunguza makali enzi za JK, Ila hawa catholic ni kichefuchefu walimuandama sana JK
Sure kabisa Mimi ni Mkristo tena mkatoliki ila Hapa ndipo napoona double standard ya kanisa

Kwa nilichogundua JK alionewa Sana japo nae alikuwa magumashi tu kwa kujaza akina abdallah na kina said kila kona mpaka wengine wakaamisha misikiti ofisini kwao
 
Kumbe huyu ndiye anayemjaza Magufuli ujinga, maana bila shaka wanakutana mara kwa mara kuelekezana ujinga!
 
Kanisa katoliki Congo kama lingesimama na kabila asingetoka madarakani ni baada ya kupinga kwa nguvu udikteta wa kabila ndipo alipokubali kuachia .Pengo ajui njaa uhakika Wa kushiba anao hivo hawezi wasemea wenye njaa.
 
Hana hasara ashamaliza dunia yuko saa 10 jioni.Asikitikii kizazi kilichobaki.Amelelewa ktk mfumo wa udikteta wa kanisa ambapo muumini uruhusiwi kuhoji juu ya mafundisho yeyeto ya kanisa zaidi ya kuyapokea.
Umesema KIZAZI? Nasikitika kukutaarifu kuwa hana watoto
 
Hao maakofu pengo nyaisonga hawana watoto awajui maana ya Maisha.Maisha yao yako limited ni uhakika Wa kula kulala hivo awaijui shida za jamii sababu wanna daraja kati yao na jamii
 
Back
Top Bottom