Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Utatapika.Tupiamo ka U-tube ili tumsikie laivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatapika.Tupiamo ka U-tube ili tumsikie laivu
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutupatia oxygen TanzaniaNdio maana ya tofauti ya mtizamo
Kwako logic kwa wengine maharage and vice versa,tulia tu na kufanya mambo mengine.
Kuanzia 80 yrs ni miaka ya huruma ya Mungu... kumi jioni!, do you know your time?, chunga kijana..
Mfumo Wa kanisa ni order uruhusiwi kuhoji au kupingwa hivo amejistructure hivoHitler aliuwa raia wema milioni 43 ikiwemo wayaudi milioni 6.Inaonekana Pengo anapenda mauaji ya raia wema.Huenda pia Pengo ni shabiki wa Idi Amini sababu alinunua ndege 63.
Sure kabisa Mimi ni Mkristo tena mkatoliki ila Hapa ndipo napoona double standard ya kanisaGwajiboy ni product ya siti, alikuwa anampunguza makali enzi za JK, Ila hawa catholic ni kichefuchefu walimuandama sana JK
Umesema KIZAZI? Nasikitika kukutaarifu kuwa hana watotoHana hasara ashamaliza dunia yuko saa 10 jioni.Asikitikii kizazi kilichobaki.Amelelewa ktk mfumo wa udikteta wa kanisa ambapo muumini uruhusiwi kuhoji juu ya mafundisho yeyeto ya kanisa zaidi ya kuyapokea.
Karibu mkuu hutojutiaPambaf zako ulitakiwa utuelekeze na wenzio namna hii nzuri ya kutojiudhi. Dah, nimechelewa kuanza lakini naanza sasa
Kizazi ni vijana wa sasaUmesema KIZAZI? Nasikitika kukutaarifu kuwa hana watoto