Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine nayofanya ni hili la kumbagaza yeyote anayewalisha watu maharagwe yaliyochacha baada ya yeye kuvimbiwaNdio maana ya tofauti ya mtizamo
Kwako logic kwa wengine maharage and vice versa,tulia tu na kufanya mambo mengine.
Ukiwa msoma trends mzuri hilo linawezekana.Nilijua mkuu huu uzi lazima utie neno.
Kanisa katoliki lina historia kubwa sana ya kuunga mkono mabeberu na madicteta, anza na hitler, musollini, franco wa spain, pinochet wa argentina na wengi we gineo, ukiwasikiliza roma umekuwa mtumwa, na usithubuthu kuwaachia watoto wako wa kiumeKumfananisha magufuli na dikteta Mussolini na Hitler yupo sahihi kabisa ndivyo alivyo hao walikua wauaji wakuu na wakati huo wakiungwa mkono na katoliki.
Kakengeuka. Kilangila.Binafsi siamini kuwa yaliyoandikwa na mleta uzi ndiyo yaliyotamkwa na Askofu mkuu mstaafu. Kama Askofu mkuu mstaafu Kardinali Policarp Pengo katamka kuwa Musolini na Hitler wanaonewa kwa kusemwa kwa mabaya tu, basi ni heri kusema kapotoka. La sivyo, atoe ufafanuzi wa kina kwa kauli hiyo.
Lakini kumbuka tu jambo moja kwamba hata hao viongozi wa dini ni binadamu tu kama mimi na wewe na wana mapungufu yao mengi tu!Kizazi kisichopenda ukweli kitakosoa mpaka Viongozi wateule. Dini inatawaliwa na dhana ya IMANI kama huwezi amini katika Maono ya Viongozi wako wa Kidini huna Imani. Ya Kardinali Pengo tuachieni walengwa yatuwashe maaana ndiye mhimili wetu wa Imani na kwa mujibu wa mafundisho kauli za Kidini hazihitaji too much Reason mwishowe Utakufuru.
Baba Pengo tunasema AMINA.
Pengo amedhalilisha Waumini wakatoliki wa Tanzania wapatao milioni 10.Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Ameshastaafu - nadhami hakupaswa kualikwa kwani si kiongozi tena wa dini. Sasa hivi kwa dsm tunaye Askofu RuwaichiHivi kwa umri wa Pengo anaweza kuwa na akili timamu ya kuaminiwa na jamii ?
Kama si unafiki basi ni upofu wa kutoona maovu yanatendeka kwenye jamii. Hakuna asiyeona mazuri anayofanya rais na serikali yake lakini pia kuna maovu mazito yanayofanyika ambayo ni muhimu kuyakemea kwa sababu kukemea maovu kuna matokeo chanya zaidi kuliko kusifia nazuri. Tusisahau kwamba watanzania walimchagua rais ili awatedee mazuri. Kwahiyo akitenda mazuri ni wajibu wake akitenda maovu akemewe kwa nguvu zote.Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki