Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

Jibu hoja kwa hoja je ushawah ona ligi gan dunian timu moja inacheza mechi nne mfululizo ikiwa home? Alaf hapo hapo et Simba inabebwa
Siwalaumu simba wala yanga tatizo ni tff tu, yanga kucheza mechi nne home ni ujinga vilevile simba kufikisha viporo 9 nayo ni ujinga ila hakuna ujinga wa klabu hapo ni ujinga wa tff, mfano juzi kuahirishwa kwa mechi ya simba na yanga tatizo ni tff haiwezekani yanga aingie uwanjani saa 11 akawa yupo sahihi na simba saa 1 akawa yuko sahihi ilibidi mmoja wao apewe point za mezani lakini tff sio kushindwa tu kumtambua aliyekosea bali hadi wao hawajui kwanini game iliahirishwa. NARUDIA TENA TFF NDIO TATIZO
 
Miaka yote ambayo Yanga ikichukua ubingwa na kushiriki mashindano makubwa ya AFRIKA ukifika wapi? Kama ni kweli kuwa Karia anaipendelea Simba, ni sawa tu kwakua unafanya vizuri na inazidi kupandisha thamani ya ligi kuu,sio kosa kuitumia.
Ziko tuhuma kwamba Simba ilikuwa ikitumia mbinu haramu dhidi washindani wake kupata matokeo, mbinu hizi inasemekana hata Karia anazifahamu
 
Lakini kuibeba kwake Simba Sc, kumeifanya thamani ya Ligi kupanda kwa kiasi chake ikilinganishwa na wakati wa Malinzi ambaye aliihangaikia Yanga na haikufanya chochote cha maana.
 
Kiongozi aliyesababisha taharuki Na hasara kubwa ya kuahirisha mechi kubwa kama ile ya Simba Na yanga bila maekezo yoyote ya maana anawezaje kuaminiwa tena? Let us be serious with our football.
Karia hafai, anaongozwa na mahaba yake kwa Simba. Hebu ona, mechi imeaahirishwa kiboya lakini Simba hawakuhoji kwanini muda uliahirishwa. Hii ni ushahidi mwingine kuwa TFF Na Simba wana uhusiano uliokithiri viwango vya kawaida vya shirikisho la mpira Na timu ya mpira.
 
We unazijua?
Utuambie wewe ambaye umeropoka tu kuwa, nusu ya nchi zote za Africa zilishiriki AFCON.

Uliyesema kwamba, wakati ule Taifa Stars inashiriki AFCO (Miaka 31 iliyopita), team zilikuwa nane, kiasi kwamba unatulazimisha tuamini kwamba, mashindano yale yalianzia ROBO FAINALI.
 
KARIA IS TOO DIVSIVE!
Kwanza aliingia kwa kura za maruhani!

MSISAHAU USHAURI WA MEXIME ! Mpira uongozwe na WENYE MPIRA WAO !

Hata JULIO anafaa kuliko KARIA!
Hapa Tz, wenye mpira wao wengi ni mbumbumbu.
 
Ni timu gani ulaya iliyokuwa Na viporo 9 eti kwasababu inashiriki mashindano mengine? Hata hivyo viporo vya namungo walipewa tu ili kubalance upendeleo wa Simba ili Namungo Na wadau wengine wasije kuhoji. Lakini Karia Na tff walifahamu fika kuwa namungo haiwezi kufika mbali kwenye mashindano yake hata ingepewa muda gani. Ile mbeleko ilikuwa ni ya Simba tu namungo ilidandia treni kwa mbele.
 
unaumia ukiwa wapi Mkuu? 😂
Hata siumii ila hakuna wakati ambao FAT Na sasa TFF iliwahi kulaumiwa Na vilabu Na wadau kama wakati huu wa Karia. Timu zimelalamikia maamuzi mabovu viwanjani Na ratiba mbovu kuliko wakati wowote ule wa TFF Na FAT, kuna wakati kulikuwa hakuna mdhamini wa ligi.

Kuahirishwa kwa mechi ya Simba Na Yanga bila sababu ndilo jambo LA wazi LA ubovu wa Karia ambalo limesababisha hasara kubwa kwa wadau wengi nchini Na nje ya nchi . Alionyesha udhaifu mkubwa sana.

Kipindi hiki cha Karia hata timu za majeshi ambazo kimsingi huwa hazina tabia ya kulalamika hovyo lakini Na zenyewe safari hii zimeshindwa kuvumilia pia. Karia hafai jamani kuliongoza shirikisho, ushabiki ulimpofusha macho Na masikio
 
Ziko tuhuma kwamba Simba ilikuwa ikitumia mbinu haramu dhidi washindani wake kupata matokeo, mbinu hizi inasemekana hata Karia anazifahamu
Hizo tuhuma zipo kwenye chombo gani ili zichunguzwe? Isijekuwa ni wivu tu wa majirani kisa mmoja kanunua gari aliyeshindwa kununua anasema mwenzie tapeli na jambazi bila ushahidi
 
Utopolo jengeni timu achei janja janja
 
Comment ya kijinga sana
 
Una sifa zote za kiutopolo
Mimi sionhelei ushabiki wa simba wala Yanga, kiu yangu ni mpira usonge mbele. Ligi mbovu itatoa mshindi mbovu asiyeweza kutuwakilisha kimataifa. Mfano, TFF kuruhusu wachezaji 10 wa kigeni kwenye club unategemea timu yetu ya taifa itapata wapi wachezaji? Kama timu INA wachezaji 10 mahiri wa kigeni halafu kwenye ligi inacheza Na timu dhaifu zenye wachezaji wazawa tu kama Ihefu, Ruvu, polisi, JKT, Mwadui, Dodoma, Ndanda, mtibwa,nk timu hizo zitaipa timu hiyo kipimo halisi cha ushindani kama atakachokutana nao kwenye mashindano ya kimataifa?

Maana yake Karia ameua timu ya taifa Na ametoa mshindi dhaifu kwenye ligi ambao itamlazimu atumie janjajanja za kila aina ili kufika robo final
 
 
 
Tena hata hao 10 bado ni wachache waongezwe watano wawe 15 tunataka kombe la Afrika, kama ni wachezaji wa ndani kwa akili ya timu ya Taifa watatoka hata Ihefu ,wenye uwezo wa kushindana na Wachezaji wa nje watapata namba huko Simba
 
Na ndio maana kule kwenye mashindano hatukufua dafu, kwani TFF iliongeza kitu gani kipya kwa taifa stars hadi ipate nafasi afcon?
Nikikuambia wewe ni taahira nitakuwa nakosea ndugu zangu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…