Hoja dhaifu kivipi? Wakati kanuni ya kuruhusu wachezaji 10 inapita kule TFF ni Simba tu labda Na Azam waliokuwa Na uwezo wa kusajili wachezaji 10, hivyo TFF ilitumika vibaya kuimarisha timu moja tu kwenye ligi. Simba yenye kikosi kipana chenye wachezaji mahiri 10 wa kigeni Na mahiri wa ndani ndiyo icheze Na Ruvu, Ihefu, polisi, mtibwa, mbeya city nk. Upuuzi sawa Na upuuzi mwinTe
Hoja dhaifu kivipi? Wakati kanuni ya kuruhusu wachezaji 10 inapita kule TFF ni Simba tu labda Na Azam waliokuwa Na uwezo wa kusajili wachezaji 10, hivyo TFF ilitumika vibaya kuimarisha timu moja tu kwenye ligi. Simba yenye kikosi kipana chenye wachezaji mahiri 10 wa kigeni Na mahiri wa ndani ndiyo icheze Na Ruvu, Ihefu, polisi, mtibwa, mbeya city nk. Upuuzi sawa Na upuuzi mwingine.
Tena hata hao 10 bado ni wachache waongezwe watano wawe 15 tunataka kombe la Afrika, kama ni wachezaji wa ndani kwa akili ya timu ya Taifa watatoka hata Ihefu ,wenye uwezo wa kushindana na Wachezaji wa nje watapata namba huko Simba