Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

Nikikuambia wewe ni taahira nitakuwa nakosea ndugu zangu???



Tena hata hao 10 bado ni wachache waongezwe watano wawe 15 tunataka kombe la Afrika, kama ni wachezaji wa ndani kwa akili ya timu ya Taifa watatoka hata Ihefu ,wenye uwezo wa kushindana na Wachezaji wa nje watapata namba huko Simba
Wale 10 ilikuwa kuirekebishia simba goal post eti kwakuwa ilikuwa na mo kidume kwenye usajili. Utaahira wa hali ya juu. Uganda inafanya vizuri kwenye soka kuliko sisi lakini haifanyi upuuzi huu wa Karia
 
Wale 10 ilikuwa kuirekebia simba goal post eti kwakuwa ilikuwa na mo kidume kwenye usajili. Utaahira wa hali ya juu. Uganda inafanya vizuri kwenye soka kuliko sisi lakini haifanyi upuuzi huu wa Karia
Ndomaana club za Uganda hatuzioni kwenye mashindano makubwa?
 
Umejielekeza vibaya mkuu tff hayaundwi na wanasimba pekee Wala Karia Pekee think twice mkuuu[emoji41]
 


ok wengine watachangia ila hapo hiyo namba moja walau unawaonea TFF.. maana wao wanahusikaje na mabadiliko ya uendeshajinwa clib yaan walirahisishiwa vip na TFF...

isitoshe mabadiliko yenyewe bado na bado simba wanavutananna serikali (FCC)...

kumbuka mabadiliko ya uendeshajinwa tasisi ni ya kisheria za inchi wala sio kimpira.. michakato inayofanywa sasa hv na simba na yanga juu ya mabadiliko ya uendeshaji yanaratibiwa na kusimamiwa na serikali ( Wizara + BMTL + FCC) ndo maana hujaona TFF akisema lolote maana yeye kazi yake ni ku deal na kile kinachotokea uwanjan.

kwa kifupi had TFF yenyewe iko monitored na serikali kupitia BMTL.. so kwenye macho ya serikali TFF na club za mpira (mfano simba na yanga) wote ni wamoja maana wote ni tasisi za michezo..

halafu hiyo kusajili wachezaji kumi kwani yanga hawakusajili ... na ukumbuke sio takwa la TFF ni serikali ndo inapanga kanun maana hao wachezaji wa kigen ni waajiriwa kama wafanyakaz wengine so serikali inaweza ikaamua kulinda ain flan ya ajira kwa kigezo chochote.

itakachofanya ni kusikiliza maon ya wadau wa tasnia husika ( ambao kwa mpira ni clubs) kwa hiyo maamuz ya wachezaj kumi ni serikai ndo iliamua tena ilitangazwa na mwakyembe akiwa wazir wa michezo
 
Usiwe mpotoshaji wa wazi eti Simba tu
Tangu aingie madarakani hujaona stars ikiingia mataifa huru mara ngapi na timu za vijana?
Hujaona nammungo ikiingia makundi Africa shirikisho?
Mafanikio ni mengi Sana kuliko ipotoshaj uliosema


Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hatuteseki ila Karia asije akajisifu.
Hajisifu Ila anasifiwa na watu kwa mafanikio kwani tangu wkt wa Mzee El mamli hakuna hatua imefanyika km hii club kuingia group stage mara mbili ndani ya miaka mitatu
Na kuwa mshindani sio kuwa mshiriki tu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
So karia ndio anajengea uwezo timu na hizo ni kanuni zinapitishwa na vilabu vyenyewe ktk uendeshaji wa ligi sio mtu mmoja

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Huko ni kumkosea heshima karia kumfananisha au kumlinganisha na malinzi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ziko tuhuma kwamba Simba ilikuwa ikitumia mbinu haramu dhidi washindani wake kupata matokeo, mbinu hizi inasemekana hata Karia anazifahamu
Kusemekana siku hizi ndio ushahidi
Hizo ni tabia ya vijiweni kuchukua taarifa na kuziamini

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Miundo mbinu ya ulaya na kwetu Tz usiifannishe ikiwemo usafiri na viwanja vyenyewe kuwa vichache

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kulalamika kwa waTanzania ni tabia yetu mkuu so hata kuhusu hilo lisikushangaze.

Na mara nyingi wakati wako ukipita basi utapata sifa kedekede wakati ambae yupo wakati huo atalalamikiwa kweli kweli.
Binafsi sishangai.
 
Wakati wa pre season mlikuwa mnazurura mitaani wakati wengine wako mazoezini. Mkaanza pre season bila kocha.

Kupanga ni kuchagua. Mlichagua kuwabeba miungu watu kama watumwa sasa tulieni dawa iingie

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kwa kuwa kuna watu hawana uwezo wa kusajili wachezaji 10 wa kimataifa, basi dawa ni kuzizuia timu zote? Ndio maana nikaita hoja dhaifu. Nakumbuka enzi tunacheza chandimu kitaa, kama timu ina wachezaji wengi wasio na viatu, inaiambia yenye viatu wachezaji wake nao wavivue ili 'twende sawa'
 
Kama Malinzi alivyoihangaikia Yanga mpaka anakwenda Gerezani Ukonga pale
 
ngoja karia akipita mtaani kwetu mawe yanamuhusu awe kwa miguu au kwa gari ntajificha sehemu tu namsubiri kwa hamu, ananiudhi sana nashindwa mpaka kula
 
So karia ndio anajengea uwezo timu na hizo ni kanuni zinapitishwa na vilabu vyenyewe ktk uendeshaji wa ligi sio mtu mmoja

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Wacha uongo kwenye huo mkutano wa kupitisha vilabu kusajili wachezaji 10 wa kigeni Na Ihefu ilikuwepo? Wakati TFF inaleta hoja ya wachezaji 10 ni ule wakati mo alipo bid 20b huku vilabu vingine vyote except Azam vilikuwa havina ubavu huo, GSM walijitokeza baaadaee. Kwahiyo mlengwa mkuu ni simba. Sasa simba kikosi kipana kucheza ligi moja Na akina Ihefu ni ujinga mtupu, hakuna uwiano. Lakini pamoja Na kuwa Na kikosi kipana lakini lakini ilitumia hela zake kuwatia upogo waamuzi Na wachezaji wa timu pinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…