Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye mpira wake ni TFF, CECAFA, CAF na FIFA. Kuahirisha mechi huwezi kuisingizia serikali. Karia kwa mamlaka aliyonayo kwenye mpira alipaswa kuhoji na kuishauri serikali juu ya kanuni za mpira zinavyosema kuhusu mabafiliko ya muda wa mechi na madhara yake kwa mpira na wadau wa mpira wa ndani na nje. Kama Karia ameshindwa kuishauri serikali kwenye hili maana yake hatoshi, maana yake iko siku serikali itamwambia ligi iwe na timu 8 tu bila kuhoji sababu atatekeleza tu?Innocent bashungwa yanga kindaki ndaki waziri wa sanaa utamaduni na michezo taarifa ilitoka kwenye wizara yake na kuvuruga mambo yote kwenye Derby ya simba na yanga ivi tff ina ubavu gani kuivimbia serikali?
Ndio mana umeona mpaka Leo innocent bashungwa kasema sababu ilikua nini ya kuhairisha mech?
Na nani mwenye ubavu wa kwenda mbele serikalini na kuhoji kwann mmehairisha mechi nan uyo
Mwisho mnasema kariha
Hoja ya kusajili wachexaji kumi
Ivi azam awana uwezo wa kusjili wachezaji 10 kweli?
Wana uwanja bora miundo mbinu bora washindwe kusajili wachezaji 10
Yanga ina kauli mbiu ya timu ya wananch itajengwa na mwananch mwenyewe ina maana wanajiweza wakipiga mahesabu yao Yale ya karatasi kila mwananch wa wa yanga akichanga sijui 1000 sijui 2000 watatengeneza pesa ndefu sana billion na ushehe na akuna atakae sumbua kwenye usajili
Wakafungua account michango ikaanza mwisho wanapata million 4 sijui 5
Akuna janjajanja kwenye mpira MPE mwenye pesa timu isonge
Manji kila mtu aliona alikua na pesa
Simba tulikua hoi
Baada ya mo kuingia ndio tumerudi
Gsm amwage mzigo wa maana asajili uone afute wapiga pesa kwisha
msikimbie kivuli mechi iliahirishwa kwa maelekezo ya wizara ikasogezwa mbele sioni kosa la TFF bodi ya ligi hapa na waziri hakukanusha kuwa hawakutoa taarifa msimlinde mwenzenu ilitakiwa mtumie busara tu kuliko kuwaingizia hasara washabiki wenu.Kiongozi aliyesababisha taharuki Na hasara kubwa ya kuahirisha mechi kubwa kama ile ya Simba Na yanga bila maekezo yoyote ya maana anawezaje kuaminiwa tena? Let us be serious with our football.
Karia hafai, anaongozwa na mahaba yake kwa Simba. Hebu ona, mechi imeaahirishwa kiboya lakini Simba hawakuhoji kwanini muda uliahirishwa. Hii ni ushahidi mwingine kuwa TFF Na Simba wana uhusiano uliokithiri viwango vya kawaida vya shirikisho la mpira Na timu ya mpira.
Sahihi Uyu n bashungwa wanajificha kwa karia utopolo sjui vipmsikimbie kivuli mechi iliahirishwa kwa maelekezo ya wizara ikasogezwa mbele sioni kosa la TFF bodi ya ligi hapa na waziri hakukanusha kuwa hawakutoa taarifa msimlinde mwenzenu ilitakiwa mtumie busara tu kuliko kuwaingizia hasara washabiki wenu.
kumbuka moja wapo ya kiporo ni hiki cha july 3 mlichosababisha yanga
Enzi za malinzi utopolo hamjasema haya
Utopolo mbona nao walisajili 10.Wachezaji 10 wa kigeni Karia aliilenga Simba tu ambayo kwa wakati ule ndo iliyokuwa Na uwezo wa kifedha wa mo
Karia angetakiwa kujiuzuru kuliko kutii maagizo yasiyo rasmi yanayokinzana Na taratibu za mpira wake. Hiyo serikali ni nani? Rais? Waziri? Au nani Na kwasababu gani?msikimbie kivuli mechi iliahirishwa kwa maelekezo ya wizara ikasogezwa mbele sioni kosa la TFF bodi ya ligi hapa na waziri hakukanusha kuwa hawakutoa taarifa msimlinde mwenzenu ilitakiwa mtumie busara tu kuliko kuwaingizia hasara washabiki wenu.
kumbuka moja wapo ya kiporo ni hiki cha july 3 mlichosababisha yanga
Enzi za malinzi utopolo hamjasema haya
Unatumia nini kufikiri?Kwa hili nadhani tuwashukuru Waganda...walitubeba kama Ndugu zao na majirani
Mkuu ni viporo gani hivo 9 Maana kila nikijaribu kuhesabu naona vilikuwa 4 tuNi timu gani ulaya iliyokuwa Na viporo 9 eti kwasababu inashiriki mashindano mengine? Hata hivyo viporo vya namungo walipewa tu ili kubalance upendeleo wa Simba ili Namungo Na wadau wengine wasije kuhoji. Lakini Karia Na tff walifahamu fika kuwa namungo haiwezi kufika mbali kwenye mashindano yake hata ingepewa muda gani. Ile mbeleko ilikuwa ni ya Simba tu namungo ilidandia treni kwa mbele.
Sio kweli mkuu, msimu huu vilikuwa 4 baada ya Yanga kugomea mechi ya Simba ndio vikafika 5, sio kweli msimu uliopitia Simba ilikuwa na viporo 9 kumbuka msimu uliopitia Simba hakufika mbali club bingwa hivo hakuwa na viporo kabisa na kama unaongelea msimu wa mwaka juzi pia havikufika 9 bali ni 4 na Yanga akawa kamzidi Simba points 8 usiandike Tu unachojiskiaMsimu huu 5. Msimu uliopita 9
Wachezaji 10 wa kigeni Karia aliilenga Simba tu ambayo kwa wakati ule ndo iliyokuwa Na uwezo wa kifedha wa mo
Malinzi alikuwa shabiki wa team gani, au Ili iwe vizuri ni lazima awekwe shabiki wa Yanga?Huyo Karia ni shabiki wa Simba na Mwanasiasa kada wa CCM.
Ni Mtu wa hovyo asiyefaa kuwekwa kwenye nafasi ya uongozi wa michezo
Mikia inampenda sana Karia kwasababu anawabeba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TFF wapo sawa kabisa,haiwezekani mzazi upambanie litoto taahira/bwege nazi wakati una watoto wengine wenye akili,wasikivu na wanaojituma.
Hoja dhaifu kivipi? Wakati kanuni ya kuruhusu wachezaji 10 inapita kule TFF ni Simba tu labda Na Azam waliokuwa Na uwezo wa kusajili wachezaji 10, hivyo TFF ilitumika vibaya kuimarisha timu moja tu kwenye ligi. Simba yenye kikosi kipana chenye wachezaji mahiri 10 wa kigeni Na mahiri wa ndani ndiyo icheze Na Ruvu, Ihefu, polisi, mtibwa, mbeya city nk. Upuuzi sawa Na upuuzi mwingine.