Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

WATU WAZIMA NA FAMILIA ZAO LAKINI LINAPOKUJA SUALA LA SIMBA NA YANGA MTU ANAKUWA AKICHAA KABISA.

HIZI TIMU ZINATUTOA AKILI KABISA WATANZANIA.
Ile ni Roho kamili bro ndio maana watu wapo radhi waache kwenda ibadani waende kuwashangilia.
 
Acha kutumia makalio kufikiria
 
Wewe utakuwa ni mchawi mtaani kwenu, siyo bure, kwa sasa timu yoyote haitakuwa kulalamika kwa suala la makundi, huyo Karia anaubavu gani wa kushawishi viongozi wa Caf ili timu za Tanzania zipangwe kwa matakwa ya Karia?
 
Mtu kama huyo unakutana kamaliza chuo
 
"Watanzania wengi ni Kiwanda cha Majungu"
 
Simba hao hawa ogopi kwani yy mwenyewe anadai wakubwa wenzie ambao kila siku wanamwacha robo.
 
hata wapangiwe ndanda fc hao mwisho wao robo tu...ndo wameandikiwa hivyo
 
Dini zote pamoja na dini za asili zimekataza kumzushia mtu,hivi wewe ni dini Gani???
 
Yaani jamiiforum ya siku hizi imevamiwa aisee... wajinga wajinga ni wengi..

Miaka 10 nyuma nilikuwa nikiingia sikosi madini ya maana.Ina maana uelewa wangu umekua sana au ni wajinga wamekuwa wengi wanaoanzisha uzi.

lakini siku hizi wajinga wajinga wengi.
SASA MTU KAMA HUYU KWELI NAYE ANA HAKI YA KUANZISHA UZI..

Rai yangu kuwe na interview kabla ya kujiunga jamiiforums wengine wabaki kama wageni tu (guests).
 
Wewe Jobless unawashwa sana na Habari za Simba, Badala uzunguke kutafuta vibarua hata vya kuokota Chupa, kuuuutwa kucha ni thiimba thiiimba. Bw mdogo achana na kushinda kwa shemeji umeshika rimoti. Simba ni lidude likuuuuuuubwaaaa na limejaaa watu wenye akili na maarifa.

Simba haina shabiki mpumbavu kama wewe,
Na hamtavuka. Tuone hiyo lazima yenu mnayojipangia.

Mtaumia sana kumoyo safari hii
Hii post uliituma Immediately baada ya 1-1 ya Simba na Asec.

Kama ilivyo ada kwamba huko Utopolo wenye akili ni JK na Baba Manara leo unakuja na mashuzi mengine ukijitekenye ooooh mimi ni thimbaaa. Maaaaanina zako wewe Kenge acha kutujazia Server na takataka zako.
 
Kumbe nawewe umeona eeeh, probably huyo Upstairs ubongo haumo nahic ana Cryptokoko fangasi wametafuna ubongo kabaki na kopo tu la kubebea Macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…