Ikatokea ikawa hivi, himahima wananchi tukawape support Mamelod.We Zunguka Subiri Jumatano Hapo Utaona Quarter Finals
Young Africans Vs Asec Mimosas
Simba Sc Vs Mamelod
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikatokea ikawa hivi, himahima wananchi tukawape support Mamelod.We Zunguka Subiri Jumatano Hapo Utaona Quarter Finals
Young Africans Vs Asec Mimosas
Simba Sc Vs Mamelod
Sio kumaliza chuo tu, ni senior lecturer wa chuo kikubwa tu hapa nchini
Halafu ni kwanini mmemuuzia Mo timu yetu
Unazingua na hiyo duh aiseeeDuh aiseee
Mimi kama Yanga mwenye akili timamu na ninajitambuwa nahitaji Yanga tupangwe na Mamelodi ili tukiwamudu kuwatowa watupe Tu Hilo kombe hakuna tena wa kutuzuia.Uto wapangiwe tu na Mamelod wapigwe wachakae kenge hawa.
Kushangilia wageni NI ushamba, kila mtu ashinde mechi zake.Ikatokea ikawa hivi, himahima wananchi tukawape support Mamelod.
Nawe huna akili.HUNA AKILI.
Acha unazi wewe, Yanga lazima atoke akikutana na Mamelody. Hata Simba lazima atoke akikutana na Mamelody. Na kuna uwezekano mkubwa Mamelody akatwaa ubingwa.Mimi kama mwana Yanga natamani itokee hivyo hiyo ndio mechi itakayotowa bingwa wa mwaka huu.
Hifadhi hii comment.
Umeweka picha ya Mzungu na ukajiita CAPO DELGADO halafu bila aibu unawaita watanzania wenzako kuwa ni watumwa wa fikra , halafu unaweka quotation ya Mwl Nyerere (Nimecheka sana ujue). Yaani ni sawa na Mgogo aliyekataa majina yake ya asili na kujiita Brian Mcdonald halafu anasimama kusema waafrika ni watumwa wa akili.HUMU NDANI KUMBE BADO KUNA MATAHIRA.
KWELI UKINGA HAUTOKUJAA KUISHA.
"Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa Fikra".
JK Nyerere.
Uzuri unajua ukweli ndio maana ukasema ni kama nimevuta bangi ila ukweli unaujua sijavuta. Kumbe ukivuta bangi unajibu kama nilivyojibu. Basi uache hizo bangi nami naacha kujibu kama wavuta bangiSwali. Inaulizwa droo ni siku ya jumatano? Wewe unajibu kama umetoka kuvut bangi.
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Huna akili
Mimi kama Yanga mwenye akili timamu na ninajitambuwa nahitaji Yanga tupangwe na Mamelodi ili tukiwamudu kuwatowa watupe Tu Hilo kombe hakuna tena wa kutuzuia.
Ni hasara kuliko faida kukutana Mamelodi stage za kuchungulia kombe, hawa Mamelodi robo fainali ndio sehemu ya kuwapunguza mapema, timu tunayo na majini ya kutosha yapo