Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

kabla ya kuleta uzi wa namna hii fanya utafiti kwanza.
ila ni sawa tu maana kwenye soka vilaza wote wapo huko.
 
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).

Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu ipangwe kukutana na Petro de Luanda kwenye robo fainali.

Rai yangu kwa karia ni kwamba itakuwa ni busara kubwa iwapo atazipambania timu zetu zote mbili, angalau YANGA naye akutane na Asec badala ya Mamelod.

Mikakati nje ya uwanja huwa inatubeba sana maana huku KARIA na pembeni MO Mmiliki wa kilabu yetu aliyoinunua ambaye anapoamua kuhonga hakika lazima uingie tu.

Hata ushindi wa jana ni mikakati yake kwa wale makirikiri na lengo lilikuwa kuyazima majungu ya wanasimba kuijadili ile kauli yake ya kuinunu.

Wana Simba wenzangu kuwapata viongozi kama hawa wanaoipambaniitachukuwa muda sana.

Sisi Wana Yanga Tunaomba Tukutane wa Mamelody tumuonyeshe u Pacome wetu!
Nina Hakika 100% Wewe ni Mwana yanga mwenzetu![emoji16][emoji16]
Kama tulivyoongea kijiweni tuwapige Majungu Simba hata yawe ya Kufikirika Ili Mradi wafeli kwa kila walifanyalo ili wasitupite kwenda Nusu Fainali!
Jioni uje kijiweni Kaka tujipongeze umeshaanIsha mada!
Uahindi wa simba jana goli 6
Umetuumiza sanaaaa wana Jangwani!
Ndio Maana tumeanza kuja na hii mikakati ya Roho Mbaya!
Mwana ahsante kwa kutuwakilisha vyema mawazo ya wana jangwani! Muite
Tuhamie kwenye majungu Magoli wanaanza kutuzidi![emoji19][emoji30]
 
Ficha ujinga wako basi japo kidogo tu. Unadhani wanapanga kama nyanya?

Vigezo ni hivi hapa
1. Timu zilizokuwa kundi moja hazikutani katika hatua ya robo fainali
2. Kunakuwa na vyungu viwili (pot). Pot moja ni washindi wa kwanza kila kundi na Pili ni washindi wa pili kila kundi. Hapa sasa mshindi wa kwanza atakutana na mshindi wa pili kundi jingine. Mechi itaanza nyumbani kwa mshindi wa pili itamalizika mkondo wa pili kwa mshindi wa kwanza.
3. Droo itachezesheshwa toka pot ya kwanza kupata mshindani pot ya pili kwa kuzingatia vigezo hapo juu.

Sasa Karia anaingiaje hapo?

Yaani kweli ww ni chura lialia wa matopeni utopolo mkubwa jini wahedi wewe
Wasameheni Bure watu Hawa,kwani mashabiki wa timu hiyo ni wageni wa mambo haya.
Ukiwa mgeni Kila kitu unaona ni kipya.
 
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).

Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu ipangwe kukutana na Petro de Luanda kwenye robo fainali.

Rai yangu kwa karia ni kwamba itakuwa ni busara kubwa iwapo atazipambania timu zetu zote mbili, angalau YANGA naye akutane na Asec badala ya Mamelod.

Mikakati nje ya uwanja huwa inatubeba sana maana huku KARIA na pembeni MO Mmiliki wa kilabu yetu aliyoinunua ambaye anapoamua kuhonga hakika lazima uingie tu.

Hata ushindi wa jana ni mikakati yake kwa wale makirikiri na lengo lilikuwa kuyazima majungu ya wanasimba kuijadili ile kauli yake ya kuinunu.

Wana Simba wenzangu kuwapata viongozi kama hawa wanaoipambaniitachukuwa muda sana.
Foolish speculations
 
That's why sipendagi mpira wa kibongo na Africa haiendelei
 
..
 
Attachments

  • JamiiForums592774928.jpeg
    JamiiForums592774928.jpeg
    10.7 KB · Views: 2

Wewe ni utopolo
 
Ahsante Jwaneng Galax (Mbagala market) kwa kuwarudisha wadau walio potea hapa mjengoni.
 
Ficha ujinga wako basi japo kidogo tu. Unadhani wanapanga kama nyanya?

Vigezo ni hivi hapa
1. Timu zilizokuwa kundi moja hazikutani katika hatua ya robo fainali
2. Kunakuwa na vyungu viwili (pot). Pot moja ni washindi wa kwanza kila kundi na Pili ni washindi wa pili kila kundi. Hapa sasa mshindi wa kwanza atakutana na mshindi wa pili kundi jingine. Mechi itaanza nyumbani kwa mshindi wa pili itamalizika mkondo wa pili kwa mshindi wa kwanza.
3. Droo itachezesheshwa toka pot ya kwanza kupata mshindani pot ya pili kwa kuzingatia vigezo hapo juu.

Sasa Karia anaingiaje hapo?

Yaani kweli ww ni chura lialia wa matopeni utopolo mkubwa jini wahedi wewe
Timu inayodai imeingia Kwa kishindo robo Kwa kumfunga mwarabu Leo inapiga ramli itapangiwa na Nani?🙄
 
Point yako mwisho unafkiri wanasimba wameisahau wewe ngoja tupate ka mgogoro kidoogo uone timbwili lake hilo ila yote kwa yote Simba nguvu moya!!!
 
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).

Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu ipangwe kukutana na Petro de Luanda kwenye robo fainali.

Rai yangu kwa karia ni kwamba itakuwa ni busara kubwa iwapo atazipambania timu zetu zote mbili, angalau YANGA naye akutane na Asec badala ya Mamelod.

Mikakati nje ya uwanja huwa inatubeba sana maana huku KARIA na pembeni MO Mmiliki wa kilabu yetu aliyoinunua ambaye anapoamua kuhonga hakika lazima uingie tu.

Hata ushindi wa jana ni mikakati yake kwa wale makirikiri na lengo lilikuwa kuyazima majungu ya wanasimba kuijadili ile kauli yake ya kuinunu.

Wana Simba wenzangu kuwapata viongozi kama hawa wanaoipambaniitachukuwa muda sana.
We ni UTOPOLO hakuna mwanasimba mpumbavu kama wewe.
 
Back
Top Bottom