Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

kabla ya kuleta uzi wa namna hii fanya utafiti kwanza.
ila ni sawa tu maana kwenye soka vilaza wote wapo huko.
 

Sisi Wana Yanga Tunaomba Tukutane wa Mamelody tumuonyeshe u Pacome wetu!
Nina Hakika 100% Wewe ni Mwana yanga mwenzetu![emoji16][emoji16]
Kama tulivyoongea kijiweni tuwapige Majungu Simba hata yawe ya Kufikirika Ili Mradi wafeli kwa kila walifanyalo ili wasitupite kwenda Nusu Fainali!
Jioni uje kijiweni Kaka tujipongeze umeshaanIsha mada!
Uahindi wa simba jana goli 6
Umetuumiza sanaaaa wana Jangwani!
Ndio Maana tumeanza kuja na hii mikakati ya Roho Mbaya!
Mwana ahsante kwa kutuwakilisha vyema mawazo ya wana jangwani! Muite
Tuhamie kwenye majungu Magoli wanaanza kutuzidi![emoji19][emoji30]
 
Wasameheni Bure watu Hawa,kwani mashabiki wa timu hiyo ni wageni wa mambo haya.
Ukiwa mgeni Kila kitu unaona ni kipya.
 
Foolish speculations
 
That's why sipendagi mpira wa kibongo na Africa haiendelei
 
..
 

Attachments

  • JamiiForums592774928.jpeg
    10.7 KB · Views: 2
Wewe ni utopolo
 
Ahsante Jwaneng Galax (Mbagala market) kwa kuwarudisha wadau walio potea hapa mjengoni.
 
Timu inayodai imeingia Kwa kishindo robo Kwa kumfunga mwarabu Leo inapiga ramli itapangiwa na Nani?🙄
 
Point yako mwisho unafkiri wanasimba wameisahau wewe ngoja tupate ka mgogoro kidoogo uone timbwili lake hilo ila yote kwa yote Simba nguvu moya!!!
 
Kwa iyo hao petroo ndo unawachukulia poa mkuu
 
We ni UTOPOLO hakuna mwanasimba mpumbavu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…