Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

Nimeangalia koment nyingi humu wanao mshambulia karia ni nyuma mwiko wanajiona wao ndo wenye mamalaka wanajiona wao ndio wana haki uchawi na ushilikina kila game kama TFF ingekuwa serius leo hii yanga ingepokonywa point kibao kwa kufanya ulonzi gane nyingi za derby kama TFF ingefanya haki utopolo 2021 wangepokonywa point hujificha katika kichaka cha kutoa misaada kwenye taasisi ili wasifiwe na watu lakin nyuma yake ni watu wenye roho kwantu kwanza kuanzia kwa wachezaji wao wakiona mchezaji anapata shavu sehem nyingine huweka vikwazo ili tu asinufaike

Pili kama TFF ingekuwa inasimamia msingi ya haki leo hii tajir yao asingekuwa na haki ya kudhamini vilabu tisa ligi kuu akiwa ni tajir wa team fulani

Tatu TFF ingetenda haki kama leo hii tunaona baadhi ya team zina vinasa saba na team fulani kupeana wachezaji na nk lakin TFF imeamua ikae kimya

Nne wana hila mbaya mpka kumpa mtu hongera wanaumizwa na mafanikio ya mtu too stupid kuwa na watu dizain ya hao

Tano TFF watoe ratib ya darby wasije waone watajua nani ambae anakuwa juu ya sheria kweny mahakama ya fisi na mbuzi
 
Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Barua ya Yanga ilitoa masaa 72 kwa TFF, kwa hiyo baada ya kuona yamepita bila majibu, mashabiki wa Yanga badala ya kuwabana TFF mnatakiwa muwabane viongozi wenu kwa nini hawachukui hatua na muda umepita
 
Tijuavyo kolo walikimbia mechi
 
Tijuavyo kolo walikimbia mechi
 
Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Yanga haina viongozi wa mpira ni ujanja ujanja tu kama waliokuwa nao kwenye kampuni zao za kibiashara (wadhamini wao ),Karia anajua kabisa yanayoendelea nyuma ya pazia! Ukitaka kuamini angalia sajili za yanga,kesi za yanga dhidi ya wachezaji na hili la kufunga milango ndipo utaamini.
 
Mdomo nisaidie kula. Huyu anasema haya kwa hiyo hataki kuambiwa ukweli kama bodi imevurunda? Kama hawako sawa si aseme tatizo liko wapi. Bodi ilikosea kweli hilo lazima lisemwe wazi na kwa kuvurunda kule ni wazi bodi ya ligi haiwezi kuaminika tena kama hataki kusikia haya na yeye atoke.

Eti huyu ni raisi wa chama cha soka Tanzania.
 
Kwamba ulitaka barua barua ya Simba ijibiwe baada ya mechi? Akili umeziweka wapi
Hiyo bodi yenu wamejichanganya hili swala limekua gumu kwao, ndo maana mpaka sasa hawajatangaza tarehe ya mechi,inabidi wamalizane na madai ya yanga kwanza ndo wapange mechi,
Lakini mpaka sasa hawajui wajibu nini maana linawabana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…