Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Karia amekuwa na jeuri Ile ya "mtanifanya nini?".Ameanza kulewa madaraka!
Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!
Anasema na kufanya chochote anachojisikia bila kujali maslahi ya wale anao waongoza (wanachama wa TFF).