Kuingiza Sinema kwenye football huo ndio utoto wenyewe..Useme sasa huo utoto
Teja la Mangungu ndio maana mnaendeshwa endeshwa kwa akili kama hizi. Mimi naipangiaje majukumu bodi na wakati Yanga ndio ina insist kufuatwa kanuni. Hivi unaelewa hata kinachoendelea au unabisha bisha tu
Maelezo yako yamejaa mawazo ya kihisia na wala siyo yenye uhalisia.Tarehe 27/3 mpaka 2/4 pana siku ngapi hapo. Huja safiri na kupata muda wa mazoezi? Hii uilinganishe na mfano nilikutolea hapo juu?
Tunajua TFF sio inayopanga ratiba kwa mujibu wa kanuni za kwenye makaratasi. Uhalisia, wao ndio wanaopanga ratiba, hao wajumbe wa bodi wanaotoka nje ya TFF ni rumber stamp hawana maamuzi yoyote. Hiyo bodi iko remote controlled na ALSHABABU wenu "KARAI"
Huwezi kupangiwa mechi ukiwa na wachezaji wote hao wakiwa kwenye majukumu ya kuzitumikia nchi zao.
Kama ni kweli wamepangiwa na Simba wamekubali hiyo ni another alert " match fixing" wameshapanga na kuhakikishiwa ushindi na wasimamizi wa ligi. TAKUKURU waombe msaada TCRA.
Mnataka muongee nyie tu. Yoyote mwingine anayeongea anakosea na anatakiwa akae kimya.Kweli kabisa, angenyamaza.
1. Kwanza yeye sio BODI. Kwa nini aikingie kifua bodi ? Anajuaje bodi iko sawa? Ana maslahi gani na bodi ?
2. Kiongozi wa karne ya leo unasemaje ambae ni msafi ndio akosoe. Yani unakiri una shida! Kwenye professional world hatutumii mistari ya biblia. Ina maana kutakuwa hakuna watu kuwajibishana, kuhojiwa, kukosolewa, kwa saab nobody is perfect!
3. Amemuwakia mwandishi kwa kumuuliza zimepita siku 8, vipiii? Kakasirika. Eti suala tuliache, tuwaache walifanyie kazi.
Maamuzi yakitoka atasema sasa tuheshimu maamuzi! Yani wanazima kuhoji sasa watazima kuhoji baadae.
Kiongozi wa kileo huwezi kuwapeleka watu mpute mpute kama vile wenzio wajinga. Jibu maswali! Toa maelezo! Toa updates. Kiongozi professional hukatai kuulizwa updates, hata kama hakuna updates, unawaambia vizuri tu, nikiwa na jipya nitakurudia.
Huyu anapitaje kuwa mkubwa TFF ? Kukiwa na nafasi CAF, FIFA, tunaweza kutuma hiki kifaa kikagombee, ana viwango vya kimataifa huyu ?
Ni mtumishi wa umma au ni kazi ya kuomba na kushindanishwa ?? Ameipataje ??
Kubebana kunaongezwa na takrimaAmeanza kulewa madaraka!
Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!
Hayo ndiyo yanadhihirisha pale wazee wasimba walipo fungwa na yanga walititisha kikao cha wazee wasimba na kumlaumkaria kuwa tumemsaidia kuingia pale tifutifu lakini yy hatusaidiiwanaayanga amkeni karia kaanza kuwasadia rasmi sasa simbaHahahah karia katupa jiwe gizan kwa utopolo wazee wa maigizo
Aibu iko wapi kwani anatembea uchi.Hii ni aibu kwa rais wa chama cha soka kutoa kauli kama hii
Huu ndio mwandiko halisi wa 🐸🐸Hayo
Hayo ndiyo yanadhihirisha pale wazee wasimba walipo fungwa na yanga walititisha kikao cha wazee wasimba na kumlaumkaria kuwa tumemsaidia kuingia pale tifutifu lakini yy hatusaidiiwanaayanga amkeni karia kaanza kuwasadia rasmi sasa simba
Kwahiyo aibu ni mpaka utembee uchi. Kama unaropoka ropoka kama nati zimeachia hito aibu unaibeba mwenyewe sio mpaka ubaki wa mnyamaAibu iko wapi kwani anatembea uchi.
😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂Utopolo ni laana kwenye hii nchi
NI USHAMBA KUSEMA TIMU IMESUSIQ MECHI WAKATI MDA WA MECHI HAUJAFIKA.Unaweza kudhani bodi Iko sahihi katika sakata hili ila kumbuka CAS na Fifa ndio waamuzi wa mwisho katika hili nasi utopolo tunapenda haki na tutawafikia wakubwa huko waliko, gharama za maandalizi ya mechi lazima uto tulipwe, uhuni kwenye soka letu ukomeshwe na points tatu ziingie kibindoni, siku nyingine makolo hakuna kukimbia mechi hata kama mbuzi wa kafara hawakuchinjwa!
Kisa mganga wenu wa Pemba darasa la saba b kasema mkicheza derby mtafungwa kama mbuzi hawatoingia taifa basi nanyi mlivyo mbumbumbu mkamfuata na kuingia mitini.
Yanga bingwa msimu huu makolo mtake msitake uwezo uwanjani hamna.
Kikosi hiki kilichotolewa CAF hatua za awali kabisa, kilichofungwa na Tabora, kikafungwa na Azam na kutoka sare na jkt au kikosi kipi cha yanga unachozungumzia??Sasa kwa kikosi cha yanga imwogope simba kwa lipi?
Mabaunsa wa yanga kuufanyia ghasia msafara wa simba na Kumzuia simba asifanye mazoezi ni ushambaChangamoto gani ya usalama acha sababu. Mlitafuta tu sababu ya kukimbia mechi nyie
Maigizo ni kwenu mliokimbia.Hahahah karia katupa jiwe gizan kwa utopolo wazee wa maigizo
Hili jamaa akili zake nyingi zipo tumboni. Halafu lina unazi wa kijinga sana.Mdomo nisaidie kula. Huyu anasema haya kwa hiyo hataki kuambiwa ukweli kama bodi imevurunda? Kama hawako sawa si aseme tatizo liko wapi. Bodi ilikosea kweli hilo lazima lisemwe wazi na kwa kuvurunda kule ni wazi bodi ya ligi haiwezi kuaminika tena kama hataki kusikia haya na yeye atoke.
Eti huyu ni raisi wa chama cha soka Tanzania.
Karia.atawakomesha mwaka.huu mmekua na viburi na dharau..by the way this is Simba..lazima mteme nyongo mwaka huu..jino kwa jino. Kama hamtaki kucheza Mpira mkacheze sinemaNi aibu sana kuwa na kiongozi mkubwa mwenye akili na hoja za darasa la saba b!! Yani mi nikikosea nisisemwe kwa kuwa na nyie kule mmekosea!! Kila kosa liadhibiwe kwa nafasi yake! Wajumbe ni makolo wahed hawana sifa , watoke waje wengine mpira wetu uende mbele!!
Hebu weka video tuone kama kweli kasema.
Hawana timu ya kuifunga Simba. Huo ndio ukweli.Kikosi hiki kilichotolewa CAF hatua za awali kabisa, kilichofungwa na Tabora, kikafungwa na Azam na kutoka sare na jkt au kikosi kipi cha yanga unachozungumzia??