Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

Hadi sasa hakuna timu iliyosusia mechi ile, maana kabla ya muda wa kick off mamlaka zikazuia mechi kufanyika. Huwezi kujua kama ni mind game au serious hadi muda wa mechi ufike. Bodi ilitoa maamuzi yanayojitegemea kwa kuwa kanuni zinaipa mamlaka ya kupanga ratiba. Hata Yanga ilivyotoa tamko kwamba haitacheza mechi nyingine, hiyo kauli sio ya kuichukulia serious hadi muda wa tarehe ya mechi utakapofika na kupita
Simba waliandaa sinema ili kukimbia mechi, izo zingine ni blah blah tu.
 
Nilijuaga lipo smart kumbe kiswaswaduuu🤣🤣Asa upuuzii Gani sàa limeongea.
 
Huyu jamaa muonekane wake tu unaonesha kuwa hana akili. Anakuja na vitisho badala ya kujibu barua ya Yanga. Mimi nipo na Yanga hadi washushwe daraja tuheshimiane tuweke misingi ya soka.
 
Simba waliandaa sinema ili kukimbia mechi, izo zingine ni blah blah tu.
Basi inawezekana uongozi wa Yanga walicheza scene fulani katika sinema hiyo ya Simba, maana mwanasheria wa Yanga anakiri kuwazuia Simba kwa kuwa nao walizuiwa mechi ya kwanza:

1000025137.jpg
 
Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Ww ni kielelezo cha akili ndogo.
 
Hata Mimi nakubaliana nawe...Kama Kweli amesema hivyo ni Bahati mbaya mno. For sure Kwa kauli hii, kama Kweli amesema hivyo, he will live to regret.
Hukumbuki kipindi kile cha bakuli Yanga inacheza makundi shirikisho ambapo ilipangwa na Gor Mahia, APR na timu moja siikumbuki vizuri.
Wakati yuko mashindanoni kuiwakilisha nchi Yanga alikua anapangiwa ratiba tafu sana kwenye ligi hapati nafasi kujiandaa vizuri kwenye mashindano yote mawili.
Yanga alifungwa na Gor Mahia 4-0 Nairobi na 3-2 Dar es Salaam.
Kocha Zahera alipolalamikia kufungwa kutokana na ratiba mbovu ya TFF inayowabana, Karia alimjibu " Na zile 4-0 mlizofungwa tumekufungisheni sisi?"
Rais wa chamaa cha soka nchi hata hajui kua kufanikiwa kwa timu zetu kwenye mashindano ya CAF ni mafanikio ya nchi pia, yeye alikua kwenye Usimba na Uyanga tu, kuikomoa Yanga isifanikiwe kimataifa wala Ubingwa wa nchi.
Naikumbuka scenario moja Uto walitua nchini kama leo, leo leo ilibidi waende Mbeya kuwahi mechi kesho yake.
Huyo ndio KARIA.
 
Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Unawajibu vipi uongozi wa kipuuzi wenye utoto mwingi...Wameenda uwanjani wakajitangazia kupata point3 na kwamba Simba hawakufika uwanjani,kesho yake wanadai wanelekea Bunju kucheza na Simba ambayo Jana yake walidai kupata points 3. ..Baada ya siku4 wanaandika barua Bodi ya ligi ya kuomba points3 . Hao wendawazimu unawajibu vipi? Ningekua mwneyekiti Bodi ya ligi hata barua yao nisingepokea
 
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025.

Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha redio, Rais Karia amedai kuwa Bodi iachwe ifanye kazi yake na kubainisha kuwa walisimamia na watasimamia kanuni na sheria inavyopaswa lakini kwa wanaosema bodi hiyo itenguliwe je wao uongozi wa Timu zao upo sawa?

“Taratibu tuziache zifuatwe, Lakini huwezi kusema bodi ijiuzulu. Hata wanaosema wawaambie na viongozi wao, hawastahili kujiuzulu? Vitu vingine vinafanyika kitoto, Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.”——amesema Karia

Wakati mwingine kukaa kimya ni silaha nani busara.
 
Two wrongs don't make a right. Kama kuna janja janja kwenye uongozi wa timu nyie kama wasimamizi mlitakiwa kuchukua hatua sio kufumbia macho ili na nyie mkileta janja janja msiguswe.
Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao....

Endeleeni kuitaka bodi ijiuzuru pasipo kwanza kuwataka viongozi wa timu zenu kujiuzuru..

Ubaya Ubwela
 
Ja

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025.

Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha redio, Rais Karia amedai kuwa Bodi iachwe ifanye kazi yake na kubainisha kuwa walisimamia na watasimamia kanuni na sheria inavyopaswa lakini kwa wanaosema bodi hiyo itenguliwe je wao uongozi wa Timu zao upo sawa?

“Taratibu tuziache zifuatwe, Lakini huwezi kusema bodi ijiuzulu. Hata wanaosema wawaambie na viongozi wao, hawastahili kujiuzulu? Vitu vingine vinafanyika kitoto, Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.”——amesema Karia

Kanuni kwanini hazifuatwi
 
Hukumbuki kipindi kile cha bakuli Yanga inacheza makundi shirikisho ambapo ilipangwa na Gor Mahia, APR na timu moja siikumbuki vizuri.
Wakati yuko mashindanoni kuiwakilisha nchi Yanga alikua anapangiwa ratiba tafu sana kwenye ligi hapati nafasi kujiandaa vizuri kwenye mashindano yote mawili.
Yanga alifungwa na Gor Mahia 4-0 Nairobi na 3-2 Dar es Salaam.
Kocha Zahera alipolalamikia kufungwa kutokana na ratiba mbovu ya TFF inayowabana, Karia alimjibu " Na zile 4-0 mlizofungwa tumekufungisheni sisi?"
Rais wa chamaa cha soka nchi hata hajui kua kufanikiwa kwa timu zetu kwenye mashindano ya CAF ni mafanikio ya nchi pia, yeye alikua kwenye Usimba na Uyanga tu, kuikomoa Yanga isifanikiwe kimataifa wala Ubingwa wa nchi.
Naikumbuka scenario moja Uto walitua nchini kama leo, leo leo ilibidi waende Mbeya kuwahi mechi kesho yake.
Huyo ndio KARIA.
Unajua kwamba siyo TFF inayopanga ratiba ya ligi?

Yanga mnapenda kupetiwapetiwa, mnapenda mcheze mechi moja kwa wiki kwa kisingizio cha mechi za kimataifa ambapo huko napo hamna cha maana mnafanya.

Ona ratiba ya Simba ya mwezi huu, inacheza tarehe 27/03 wakati wachezaji wasiopungua 9 wanakosekana kwa majukumu ya timu zao za taifa na wakati huo huo chini ya wiki moja tarehe 2/04 anatakiwa acheze mechi ya ugenini na Al Masry. Ingekuwa nyie mngelalamika.
 
Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao....

Endeleeni kuitaka bodi ijiuzuru pasipo kwanza kuwataka viongozi wa timu zenu kujiuzuru..

Ubaya Ubwela
Hata bodi ikiendelea kuwepo wala haiwezi kuzuia yanga kuipiga simba. Tayari washafanya hivyo mara 4 mfululizo na tarehe 8 ilikua mara ya 5 kama msingeandaa ile sinema yenu. Hata mwitikio wa mashabiki unaonyesha ni upande upi ulikua na matumaini ya ushindi.

Wakati mashabiki wa yanga wanalaani wakiona wamenyimwa fursa ya timu yao kupata ushindi, mashabiki wa simba wanasapoti wakiona wameepushwa na kipigo.

Hapa bottom line ni huu utoto wa simba na bodi ya ligi
 
Masaa 72 yalishamalizika huo utoto wa kudai hela na points za bure mmeshaachana nao au bado mnadai?

"Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao."

Mko episode ya ngapi sasa?
 
Back
Top Bottom