Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

Ndiyo! Timu ngeni ilikosa fursa hiyo ya kikanuni. Je! Kanuni inasemaje kuhusu timu ngeni kususia mechi kutokana na kukiukwa kwa kanuni ya kwanza hapo juu!?
Timu ngeni haikususia mechi, mechi iliairishwa na bodi ya ligi.

Nani ajuaye huwenda bila mechi kuairishwa Simba angepeleka timu
 
Hii ndjo point yenyewe.
 
Karia anajisahau sana. Nchi hii Simba na Yanga ndiyo kitu pekee Watanzania wako tayari kupambana hata na Alshabaa Ili kuzilinda, Watanzania wanaweza hata kupindua serikali kwa ajiri timu hizi.
Yaani kesho Yanga au Simba wakiamua Karia atoke kwenye huo Urais anatoka saa 2. 00 asubuhi.
Kwa ufupi kwenye mpira wa nchi hii, Magungu na Hersi Wana nguvu kuliko TFF. Karia hana ubavu wowote dhidi ya Yanga na Simba. Asiwachokoze watu.
 
Utopolo endeleeni na sinema zenu. Episode iliyopita ilikuwa ni kupeleka basi lenu Mo Complex.
Unaweza kudhani bodi Iko sahihi katika sakata hili ila kumbuka CAS na Fifa ndio waamuzi wa mwisho katika hili nasi utopolo tunapenda haki na tutawafikia wakubwa huko waliko, gharama za maandalizi ya mechi lazima uto tulipwe, uhuni kwenye soka letu ukomeshwe na points tatu ziingie kibindoni, siku nyingine makolo hakuna kukimbia mechi hata kama mbuzi wa kafara hawakuchinjwa!

Kisa mganga wenu wa Pemba darasa la saba b kasema mkicheza derby mtafungwa kama mbuzi hawatoingia taifa basi nanyi mlivyo mbumbumbu mkamfuata na kuingia mitini.

Yanga bingwa msimu huu makolo mtake msitake uwezo uwanjani hamna.
 
Sikutegemea kama huyu ana weza zungmza ujinga kiasi hiki

YESU KRISTO amponye atubu kwa manufaa ya nchi
Hata Mimi nakubaliana nawe...Kama Kweli amesema hivyo ni Bahati mbaya mno. For sure Kwa kauli hii, kama Kweli amesema hivyo, he will live to regret.
 
Ila kiukweli utopolo viongoz wao na wanachama wqnajionq wao ni kama wao wanaweza fanya lolote nchi hii, na wameota mapembe sasa, kwa maamuzi hayo ya tff watajua Mamlaka zipo imara
Mtajua hamjui soon
 
Safi sana Karia huu ujinga wa Hers said alioufanya sikuya mkutano wa tff kuwa.karia anafaa kuendelea kuongoza mimi kama mpenzi wayanga kusikitishwa sana labda atapata kujua kuwa tff ya Karia na yanga ni vitu viwili tofauti
 
Mtu mwenye busara angenyamaza ila hapo kakosea zaidi.
 
Rais zero kama huyu nadhani hakuna duniani
 
Raisi anakua kilaza hivi! Haya maneno yamejaa chuki kwa viongozi wa Yanga, kiongozi hupaswi kuwa na mihemko kama hii🚮🚮
 
Ameanza kulewa madaraka!

Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!
Mmeshaanza kumsagia kunguni, mnasahau mangapi amewafanyia.
Unataka mechi ichezwe wakati kuna viashiria vya amani kuhatarishwa? Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…