Karia amekuwa na jeuri Ile ya "mtanifanya nini?".Ameanza kulewa madaraka!
Sijui kwanini viongozi wa FAT/ TFF baada ya muda wakishajuana na FIFA/CAF hudhani wao ni alpha na Omega! Namkumbuka Ndolanga, Malinzi, Kaduguda!
Msafara wa kwenda wapi? Kuna taratibu na kanuni ku deal na situations kama hizo ambazo zinasimamiwa na mamlaka ya kuongoza ligi. Kwanini msusie mechi?Mabaunsa wa yanga kuufanyia ghasia msafara wa simba na Kumzuia simba asifanye mazoezi ni ushamba
Mechi itapangwa tarehe nyingine tutakutana hapa hapa jf baada ya dakika 90Kikosi hiki kilichotolewa CAF hatua za awali kabisa, kilichofungwa na Tabora, kikafungwa na Azam na kutoka sare na jkt au kikosi kipi cha yanga unachozungumzia??
Suala la timu ambayo ipo away kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi ni suala ambalo lipo kiprotokali tu, sio kanuni kusema kwamba timu isipofanya hayo mazoezi basi mechi haichezwi.Simba walienda kufanya mazoezi kama kanuni inavyotaka kwa timu ngeni, muda ambao mechi itachezwa. Wakazuiwa kufanya mazoezi na kufanyiwa fujo.
Wakaandika barua kulalamika na kutaka majibu, maana kulikuwa na dalili za uvunjifunwa amani kwa wao kupeleka timu.
Bodi ya ligi ikakaa na ikajiridhisha kuwa dimbavwalizuiwa ikaanzisha uchunguzi na kuona wa ahirishe hiyo mechi isije kuleta maafa bure.
Yanga wakaamua kupeleka timu wakijua mechi haipo.
Wanataka point na wanadai fidia.
Bodi ya ligi wanachopaswa ni kutangaza tarehe ya mechi nyingine.
Waone nini kinafuata wafuate kanuni.
Na itapendeza sana ikipangwa mwisho wa msimu wa ligi ili atakayeshindwa afunge domo lakeMechi itapangwa tarehe nyingine tutakutana hapa hapa jf baada ya dakika 90
Wanachama watakuwa na kazi gani?Two wrongs don't make a right. Kama kuna janja janja kwenye uongozi wa timu nyie kama wasimamizi mlitakiwa kuchukua hatua sio kufumbia macho ili na nyie mkileta janja janja msiguswe.
Yanga wanadai nini?Maajabu ya soka la tanzania!
Simba wameandika barua masaa matano tu kikao kimeitishwa kujadili swala lao!
Ila barua ya yanga Leo siku ya nane haijatolewa majibu! Hiyo tu inatosha kujua nani anabebwa.
Kwa hili mimi ni wakili wa kujitegemea wa karia.Huyu hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
Kwa nini muwape sababu ya kukimbia timu ambayo mnaimudu kivyovyote?Changamoto gani ya usalama acha sababu. Mlitafuta tu sababu ya kukimbia mechi nyie
Huyu mhuni na malaya .wa soka letu la Tanzania siku zake zimefikia ukingoni.
Umbwa huyu.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025.
Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha redio, Rais Karia amedai kuwa Bodi iachwe ifanye kazi yake na kubainisha kuwa walisimamia na watasimamia kanuni na sheria inavyopaswa lakini kwa wanaosema bodi hiyo itenguliwe je wao uongozi wa Timu zao upo sawa?
“Taratibu tuziache zifuatwe, Lakini huwezi kusema bodi ijiuzulu. Hata wanaosema wawaambie na viongozi wao, hawastahili kujiuzulu? Vitu vingine vinafanyika kitoto, Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.”——amesema Karia
Eti na bus wakapeleka bunju yaani uswahili mtupu ili iweje?Moja kati ya bahati mbaya kwenye ligi yetu ni kuwa na timu inayoongozwa na watu wapuuzi kama viongozi wa Yanga
Mkurugenzi jijiAkiwa MG alikuwa ni mwanasheria, accontant au alikuwa yupo yupo tu?