Kariako igawanywe ili hii migomo isije kutokea tena

Kariako igawanywe ili hii migomo isije kutokea tena

Vifaa vya ujenzi vikauzwe bunju
Vifaa vya umeme kibamba
Vifaa vya ndani mbagala
simu ndio zibaki kariakoo
Nguo gongolamboto
Iwekwe order baada ya miez 3
Unajua maana Ya Central Business District Yaani CBD mjinga wewe

Duniani kote huwa kuna CBD
Ushamba na lack of international exposure kunakusumbua huelewi vitu kichwani mweupe kama kichwa cha kichaa aliyetoka kunyolewa kipara saloon
 
Back
Top Bottom