Unasemaje Vinyesi FCMakolo lazima wakae.
in mtu kazi's voiceMakolo lazima wakae.
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]Kila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja kwa mbalii Mzamiru anaweza kukaba ila eneo letu la viungo wengi ni washambuliajii kuna kutawaliwa eneo La katikati kesho hiyo sijui mwalimu Maki atalitatua vipi hili tatizo!
Wanasimba wenzangu nyie mnaonaje?
Yaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungoKila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja kwa mbalii Mzamiru anaweza kukaba ila eneo letu la viungo wengi ni washambuliajii kuna kutawaliwa eneo La katikati kesho hiyo sijui mwalimu Maki atalitatua vipi hili tatizo!
Wanasimba wenzangu nyie mnaonaje?
Simba yenu na nani wewe kinye fcYaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo
Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari ingine
MkudeKila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja ...
Mbona wachezaji wamezidi?Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
Hata hofu pia imetamalaki. Watu wanajitahidi tu kujipa moyo. Ila wanafahamu fika mambo siyo mepesi kivile.Mbona wachezaji wamezidi?
Nitakupa elf 10Makolo lazima wakae.
Binadamu ameumbwa kusahauSimba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensiveMkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan
Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
Tulia ww utopolo kesho maji mtaita nyaaYaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo
Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari inginet