Kariakoo Derby 13/08/2022

Kariakoo Derby 13/08/2022

kachy

Senior Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
138
Reaction score
69
Kila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja kwa mbalii Mzamiru anaweza kukaba ila eneo letu la viungo wengi ni washambuliajii kuna kutawaliwa eneo La katikati kesho hiyo sijui mwalimu Maki atalitatua vipi hili tatizo!

Wanasimba wenzangu nyie mnaonaje?
 
waulize Bangala na Aucho alifanywa nini na Akpan mmoja kule Arusha.
 
Kila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja kwa mbalii Mzamiru anaweza kukaba ila eneo letu la viungo wengi ni washambuliajii kuna kutawaliwa eneo La katikati kesho hiyo sijui mwalimu Maki atalitatua vipi hili tatizo!

Wanasimba wenzangu nyie mnaonaje?
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
 
Yaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo

Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari ingine
 
Simba yenu na nani wewe kinye fc
 
Kila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja ...
Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan

Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
 
Hao chama, sakho, kanoute hua derby wanapoteana. Mkude ndo mwamba wa yote, derby ndo kitu anapenda.
Wakutegemewa ni akpan, na huyo ashajulikana. Hato shine.

Beki za Yanga esp Mwamnyeto ndo wasiwasi uko hapo akiwa na combo ya Bangala. But Bangala akicheza mbele yao Mwamnyeto na Job mambo yatakua safi.

Nabbi akianza na ile first 11 ya siku zote simba anakalishwa mapema ila akianza na akina Azizi, Lomalisa, Morrison aaah, mapema anakalishwa hakuna chemistry yyte pale.
 
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
Mbona wachezaji wamezidi?
 
Pale katikati Weka Akpan, Okwa na Chama,halafu mbele yao awepo Okrah na Sakho halafu mbele awepo mtu yyte yule, Hata maiti.

Mliona vile Yanga walipoteana kule Arusha??
 
Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan

Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
 
Yaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo

Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari inginet
Tulia ww utopolo kesho maji mtaita nyaa
 
Back
Top Bottom