KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Bila counter attack Yanga hafungiki.Pale katikati Weka Akpan, Okwa na Chama,halafu mbele yao awepo Okrah na Sakho halafu mbele awepo mtu yyte yule, Hata maiti.
Mliona vile Yanga walipoteana kule Arusha??
Mbona Mkude ni naturally??Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Umeiona kama mimiOnyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
Mtani kwa upande wako mambo ni simple tu sio?Hata hofu pia imetamalaki. Watu wanajitahidi tu kujipa moyo. Ila wanafahamu fika mambo siyo mepesi kivile.
Derby ya Kariakoo siku zote haina mwenyewe. Atakayecheza vizuri siku ya mechi ndiye atakayeshinda.Mtani kwa upande wako mambo ni simple tu sio?
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan
Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
[emoji23][emoji28]masiala hayo mtani.kesho mnapigwa tatu takatifu malalamiko f.cSimba akishinda niiteni mbwa.
"Mbwa" Tayari nimeshakuita.Simba akishinda niiteni mbwa.
Bigirimana hana kitu.Yaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo
Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari ingine
Nimesemaje akishinda simba niiteni....?[emoji23][emoji28]masiala hayo mtani.kesho mnapigwa tatu takatifu malalamiko f.c
Kanoute ndio anacho 😂Bigirimana hana kitu.
Sasa bigirimana, utamfananisha na Putin??? [emoji23][emoji23][emoji23]Kanoute ndio anacho [emoji23]
Umeanza tena kuonesha ushamba wako.Sasa bigirimana, utamfananisha na Putin??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee EPL unaijua au unaisikia??? Au unajitoa ufahamu??Umeanza tena kuonesha ushamba wako.
Epl player unamfananishe na hiyo ngongingo inayocheza rafu mechi nzima..
Mnapenda kujichetua akili sana [emoji23]
Kikenya wanasema"Wumbwa"Nimesemaje akishinda simba niiteni....?