Kariakoo Derby 13/08/2022

Kariakoo Derby 13/08/2022

Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Mbona Mkude ni naturally??

Wengine ni box to box ila Mkude hiyo ya kukaba Ndio anaimudu ipasavyo kwa waliopo.
 
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
Umeiona kama mimi
 
Kocha kama atampanga mkude kama mkabaji hiyo game tunapigwa
Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]
 
Jifunze mpira hao wote wanafanana ni wazuri wakiwa na mpira,hawawezi kukaba na ni wazito.Simba ilikuwa na kiungo bora alivyokuwepo Kotei,Fraga na Lwanga
Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan

Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
 
Yaani hii Simba yetu inakosa kabisa muunganiko pale katikati, kesho chama awe kwenye form, Mkude nae asizingue..Kiungo Punda mzamiru hatatuangusha.. Timu ikipoteza mpira Viungo wetu wanarelax sana, unashangaa beki anafanya kazi za viungo

Mido ya Yanga imekamilika sana hadi naiogopa Bangala, Aucho, Bigirimana, Feitoto, Sureboy hawa watu ni habari ingine
Bigirimana hana kitu.
 
Umeanza tena kuonesha ushamba wako.
Epl player unamfananishe na hiyo ngongingo inayocheza rafu mechi nzima..

Mnapenda kujichetua akili sana [emoji23]
Wee EPL unaijua au unaisikia??? Au unajitoa ufahamu??

Wenzake wamekuwa makocha, yeye alikua ktk kiwanda cha bia alifukuzwa kisa wizi, eti leo anacheza?? Unajua km huko EPL hakudumu wakimkataa kisa maradhi???.

Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyo. Yule hana uwezo wa kuhimili game ya Derby, km mie muongo kesho awepo afu utakuja uniambie.
 
Back
Top Bottom