Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Jangwani simba anaogopeka kama kifuku, adhabu kali ni vyura kuweza kuicheza hii ngoma kiduku/
 
YouTube channel ya Simba sc inaweza kurusha ikiwa watawalipa Azam tv maana Simba na Yanga tayari wana mtonyo kutoka Azam tv hivyo mwenye hakimiliki ni yeye
La sivyo hakuna online streaming kabisa.
Azam unawajua unawasikia
 
leo naingia uwanjani kushuhudia mnyama anavyo jilia chakula chake
 
Kwa Molinga naunga mkono hoja! Jamaa miguu haina stamina kabisa. Ila kwa Ali Sonso, hakuna namna. Ana unafuu sana kwenye uimara, nguvu na pia kwenye kurekebisha makosa.
 
Niko uwanja wa taifa toka saa sita mchana huu lakini nimekosa toketi. Wauzaji wanasema tiketi zimeisha.
Nasubiria taarifa ya TFF kusema kuwa uwanja ulijaa viti vyote vinginevyo nitajua hii ni hujma kwenye mechi ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu mingine bana,sasa ticket zilizotengenezwa kutokana na idadi ya viti zimeisha we unataka uuziwe nini?

ungepewa ticket halafu uingie uwanja ujae sana bado ungelalamika kuwa ni wazembe wamekata ticket zaidi. tuache kulalamika kwanza saa sita ndio umewahi wakati watu wamekata ticket siku nyingi?
 
karibu jijini mkuu

Tiketi zipo ila utazipata kwa 10000 na kuendelea
Niko uwanja wa taifa toka saa sita mchana huu lakini nimekosa toketi. Wauzaji wanasema tiketi zimeisha.
Nasubiria taarifa ya TFF kusema kuwa uwanja ulijaa viti vyote vinginevyo nitajua hii ni hujma kwenye mechi ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu mingine bana,sasa ticket zilizotengenezwa kutokana na idadi ya viti zimeisha we unataka uuziwe nini?

ungepewa ticket halafu uingie uwanja ujae sana bado ungelalamika kuwa ni wazembe wamekata ticket zaidi. tuache kulalamika kwanza saa sita ndio umewahi wakati watu wamekata ticket siku nyingi?
Ujamuelewa jamaa ebu tuliza akili alafu Soma upya utamuelewa.
 
Leo ni kutoa dozi tu kwa Yanga hakuna namna.
 
Game ikamalizika watasema tumeingiza watu elfu 48 wakati inachukua watu 60 ulanguzi utauwona hapa.
 
Back
Top Bottom