Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kishingo atafukuzwa tu mwaka huu hauishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo kishingo mwaka huu hamalizi atatimuliwa aende kuuza matikiti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manila tunamlaumu Bure lakini mzamiru ndio alifanya upumbavu anapotezaje mpira kijinga goli la pili ni la shabalala alishindwa kummark banka na hilo ni tatizo lake la muda mrefu kocha tunamlaumu kwa kuweka fraga nje na kumwacha gadien Michael bench leo tumemsamehe ila siku nyingine tutakosa uvumilivu
 
Kunajamaa hapa shabiki wa simba katoka uwanjani haoni funguo ya gari ameagiza spare nyimbani ila bodaboda hapatikani kwenye simu mpaka sasa zaidi ya masaa 4 tunakunywa bia tu.
 
Mwanaisha salum Manila
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanaisha salum Manula
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…