Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Asante sana mkuu, msiwe mnaongea sana bhana!mkuu mmetibua party kinyama all in all mmefanya come back ya kibabe hongeren kwa Hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu, msiwe mnaongea sana bhana!mkuu mmetibua party kinyama all in all mmefanya come back ya kibabe hongeren kwa Hilo
Kishingo atafukuzwa tu mwaka huu hauishiAcha ushabiki maandazi, sasa hapo kocha kafanya nini? Ulitaka akamsadie Manula kuokoa pale golini, haya matokea ya Zambia National Team, kupoteza michezo 2 na sare ugenini na kushinda mmoja nyumbani ni kitu cha kushangaza hapo, ulitaka ashinde yote anacheza peke yake uwanjani.. Patrick aliweza kushinda zote huko away!
Comeback ya timu ya wananchi imewavuruga akili mambumbumbuVyura fc mnafurahisha Sana yani mmechomoa na mavi lakini mnashangilia Kama mmeshinda hongereni kwa ushindi .
Yote kwa yote huyu kocha wa Simba hakuna..yaani yule mbrazil flaga hata kwenye benchi hakuwepo!?? Mkude hana kile kiwango tena cha kunusa hatari..!! Simba ilichemka sana kuweka siasa na kumuondoa Patrick. Huyu kocha wa sasa nimejaribu kupitia cv yake hana mahali popote alipofanya vizuri.
Hebu check record yake kabla hajaja Simba!!View attachment 1312527
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnayaka kubalance eeeh? Baada ya kupewa tuta hewa.....Bila ushabiki kwa VAR au marefa wenye viwango goli la pili la yanga ni offside
Hahaahahaaa...
ShikamooNilikukosa mdogo wangu..!!
haya makelele yote kwasababu ya ujinga wa manula, mngekuwa mmeshalala toka saa moja jioni!eti uwekezaji wa bil20 kumbe kazi yao kubwa ni kununua mechi, bila kumhonga refa au kununua mechi hakuna ushindi, pumbafu zao........
Mashabiki maandazi tu.... Alicheza peke yake kwan.... Where were the defenders...?
Tumekumbuka mlivyoshangilia ile sare ya 3 - 3 kipindi kile......Vyura fc mnafurahisha Sana yani mmechomoa na mavi lakini mnashangilia Kama mmeshinda hongereni kwa ushindi .