Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Acha ushabiki maandazi, sasa hapo kocha kafanya nini? Ulitaka akamsadie Manula kuokoa pale golini, haya matokea ya Zambia National Team, kupoteza michezo 2 na sare ugenini na kushinda mmoja nyumbani ni kitu cha kushangaza hapo, ulitaka ashinde yote anacheza peke yake uwanjani.. Patrick aliweza kushinda zote huko away!
Kishingo atafukuzwa tu mwaka huu hauishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo kishingo mwaka huu hamalizi atatimuliwa aende kuuza matikiti
Yote kwa yote huyu kocha wa Simba hakuna..yaani yule mbrazil flaga hata kwenye benchi hakuwepo!?? Mkude hana kile kiwango tena cha kunusa hatari..!! Simba ilichemka sana kuweka siasa na kumuondoa Patrick. Huyu kocha wa sasa nimejaribu kupitia cv yake hana mahali popote alipofanya vizuri.

Hebu check record yake kabla hajaja Simba!!View attachment 1312527

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtanzania....?

IMG_1153.JPG




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Manila tunamlaumu Bure lakini mzamiru ndio alifanya upumbavu anapotezaje mpira kijinga goli la pili ni la shabalala alishindwa kummark banka na hilo ni tatizo lake la muda mrefu kocha tunamlaumu kwa kuweka fraga nje na kumwacha gadien Michael bench leo tumemsamehe ila siku nyingine tutakosa uvumilivu
 
Kunajamaa hapa shabiki wa simba katoka uwanjani haoni funguo ya gari ameagiza spare nyimbani ila bodaboda hapatikani kwenye simu mpaka sasa zaidi ya masaa 4 tunakunywa bia tu.
 
Back
Top Bottom