Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona na hata style yenu ya kucheza miaka yote inakuwaga moja tu. Wait na uone mwenyewePira unaliona ama?
Wana mpira mwepesi sanaYanga wanazingua..!
Naona mashoot yao hayana nguvu jamaniSema Yanga umaliziaji. Huyu Manula dawa yake mnampigia mashuti ya mbali. Mwepesi sana Manula.
Pofu mbona nyama yake tamu sanaHivi mashine za Simba zilizoko nje mnaziona vyura au mmekula nyama ya pofu
Hio nafasi ya kufanya hata hivyo ipo?😀Sema Yanga umaliziaji. Huyu Manula dawa yake mnampigia mashuti ya mbali. Mwepesi sana Manula.
Njaa kaliNaona mashoot yao hayana nguvu jamani
We possess ze ball folk what you guys possess?Naona na hata style yenu ya kucheza miaka yote inakuwaga moja tu. Wait na uone mwenyewe
Hamna njaa hapoNjaa kali
Kama mmeila vyura shuhuli imeishaaaa mapemaaaPofu mbona nyama yake tamu sana
Yondan kuna mwingine zaid yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchimbi = NchimbiRefa na mshika kibendera wapuuzi,Mchimbi hakuwa offside.
After match nakutafutaKama mmeila vyura shuhuli imeishaaaa mapemaaa