Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kwa haya mashambulizi, kazi tunayo! Mshambuliaji ni mmoja tu Ditram Nchimbi! Natamani angekuwepo na yule dogo Tarik Seif, ila ndiyo hivyo tena.
 
Kila lenye Kheri Yanga. AZAM pumbavu zenu ndo nini kutuonjesha YouTube halafu mkakata. Kwa nini mnatuonjesha ? Msiwe mnaonyesha kabisa fala nyie.
😁😁 wameniudhi kinoma..yaani dakika 1 then wakakata
 
Kila lenye Kheri Yanga. AZAM pumbavu zenu ndo nini kutuonjesha YouTube halafu mkakata. Kwa nini mnatuonjesha ? Msiwe mnaonyesha kabisa fala nyie.
Fala ni yule ambaye hana kisimbuzi cha azam au anacho na hana kifurushi cha pure alafu analalamika mitandaoni 😝
 
Leo Yanga ushindi wetu utapatikana kwa njia ya counter,ila viberenge si vioni.
 
Back
Top Bottom