Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Wiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.

Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.

Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.

Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.

Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.
Kweli Manula ni mfupi sana, mipira ya juu mingi inamshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shadeeya nipo nakushikia nafasi hapa
Afadhali rafiki. 😂😂😂😂 Tumejua kuwanyoosha. Vidomo domo vyote kwisha. Wanajua kumfunga yanga ni kazi rahisi.

Na hapa washukuru Penalti ya kupewa la sivyo ingekuwa kilio leo. 😂😂😂😂
 
Draw inashangiliwa hivi kazi kweli kweli.


Yule jamaa aliyeleta tunguli uwanjani ni Wa wapi mtani Shadeeya
Hatushangilii draw Mtani tunachoshangilia ni kukuziba mdomo kwa zaidi ya dakika 30 huku mkiwa mmevurugika si jambo dogo.

Kingine ni kwamba ndani ya Uwanja tupo sawa tu hamna mlichotuzidi.

Nilikuwepo Taifa Mtani katokea kwenu yule.
 
Ni blunder za Manula tu hizo he got nothing new to offer kwa klabu.
Next time hutoki umechezesha wachezaji wako wapya sijachezesha hata mmoja fureshi.
.
Ila Manula mamake
Hahahaha hilo la manula sisi halituhusu, tunachojua tumemchomeka 2 za mkwezi.

Kumbuka ulivojitapa apa mwanzo braza mkia haha
 
Binafsi nawapongeza Yanga kwa kujituma mpaka kupata zile goli mbili na kulazimisha sare.Ninachotaka kusema sio kazi rahisi kulazimisha sare na MABINGWA WA NCHI na kwa YANGA lazima washangilie kwani walikuwa WAMEKUFA.
Screenshot_20200105-093713_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[05/01, 09:30] PRINCE G.E.M: UMEWAZAAA YONDANI ALIJUAJE KAGERE KAINGIA NA KADIA YA BIMA UWANJANI
[05/01, 09:32] PRINCE G.E.M: UMEWAZA MPENZI WA YANGA ALIPOINGIA UWANJAN AKADONDOKA NDIPO TUKALIPIA BILL YOTE YA 45/MINS
[05/01, 09:32] PRINCE G.E.M: UMEWAZA BAADA YA HÀPO KAGERE ALIANZA KUUSHIKA BEGA NA KUDONDOKA OVYO
[05/01, 09:33] PRINCE G.E.M: UMEWAZA WASHAMBUALIAJI WA SIMBA WÀLIOIFUNGA YANGA WOTE WALITOKA BAADA YA MSHABIKI KUINGIA UWANJAN
[05/01, 09:34] PRINCE G.E.M: BADO TU UNAWAZA KWA NN MANULA ÀKUUONA ULE MPIRA WA MAPINDUZI
[05/01, 09:34] PRINCE G.E.M: KAWAZE ALIPOJIBU JANA MOJA YA REDIO NDIPO UKAE MBALI NÀ.MECHI ZA SIMBA NA YANGA
[05/01, 09:35] PRINCE G.E.M: *UKIANZA WENZIO WANAMALIZA HESHIMA.KWENU KAMATI YA UFUNDI DAR Y AFRICANS*
[05/01, 09:39] PRINCE G.E.M: *JE WAJUA LILE GOLI LA YANGA DPP AMEKIRI HANA KIPINGAMIZI KABISA NA MDHAMANA WOWOTE*

*JE WAJUA GOLI LA KWANZA LA YANGA UNAWEZA OMBEA MKOPO BANK YOYOTE YA TANZANIÀ BILA KIPINGAMIZI*???
[05/01, 09:45] PRINCE G.E.M: UMEWAZA BEGA ALILOKUWA AKISHIKILIA KAGEREE AKA KIHEREHERE NDIPO ULIPOTOKEA MZIGO WA.....
 
Kumbe wachezaji wa nje wanakuja na hirizi zao kabisa?
Au ule mzigo wa Kagere kaupata hapa Bongo?
 
Back
Top Bottom