Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Manula ni mfupi sana, mipira ya juu mingi inamshinda.Wiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.
Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.
Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.
Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.
Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.
Unafungaje refa akipiga filimbi,ile ilikuwa clear chance maana golini kuna pazia........Nchimbi alifunga ?
Siyo ufupi,Manula ni pazia
Hadi hapo yondani hakuwa amemshika kagere. Ipeleke mbele kidogo uone.
Karudie kuangalia ile ni offside
Hatushangilii draw Mtani tunachoshangilia ni kukuziba mdomo kwa zaidi ya dakika 30 huku mkiwa mmevurugika si jambo dogo.Draw inashangiliwa hivi kazi kweli kweli.
Yule jamaa aliyeleta tunguli uwanjani ni Wa wapi mtani Shadeeya
Maandazi wewe abdooolNimegundua una uelewa mdogo sana, sasa hapo umejuaje kama hazungumzii mashabiki?
Maneno yenu hayoo polen San hirizi ya kagere imewaponzaKunguru akimnyea mtu haimaanishi kua anashabaa, ningekewa tu
Hahahaha hilo la manula sisi halituhusu, tunachojua tumemchomeka 2 za mkwezi.Ni blunder za Manula tu hizo he got nothing new to offer kwa klabu.
Next time hutoki umechezesha wachezaji wako wapya sijachezesha hata mmoja fureshi.
.
Ila Manula mamake
Ile ni chain ya gold, ni.lazima uione kama hirizi maana mshazoea kuona vikuku kwa shishimbiManeno yenu hayoo polen San hirizi ya kagere imewaponza
Tafuta matokeo ya tarehe 20/2/2016 then tuambie ni raisi yupi alikuwa madarakaniIvi Magufuli tokea Awe Raisi ameshawahi kuvishuhudia [emoji196] [emoji196] vikimfunga Simba Mabingwa wa Nchi?