Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Lumumba ipo kko
Hakuna aliyesema kafa kwa corona, huyo mtu kafa kivyake ila maiti inaogopwaMkuu nimeiona sana hiyo habari na sio kwamba natumia freebasics sema nilichomaanisha ni kwamba hatuna uhakika kwamba kweli huyo mtu amefariki na covid ingawa mamlaka zinahofu.
Usisahau kuchukua tahadhari kali dhid ya covid
Hivi maralia imepumzika sahivi au?
Haijafutwa ndg, ipo hapo juu post ya mwanzo kabisambona mods wapo shap kufuta hiyo clip wakat wengine hatujaiona
Ule utabiri wa mke wa Bill Gates unatimia sasa.. Afrika maiti zitazagaa mitaaniHatari kubwa kariakoo huyo ni maiti amekufa toka jana kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kumuondoa maiti huyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua kutokana na VIRUSI VYA COVID19 hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo
==
Punda fanyeni kazi mlipe kodi
View attachment 1432234
Kwani jiwe ni mumeo! be a man help yourself.Jana jioni kigogo wa Twitter alisema nikadhani anadanganya.
Ila alikuwa hajarusha clip. Leo ndio nimeona clip inasambaaa.
Kiufupi we dont have a Government.
Jiwe is useless. Ndio maana kakimbia.
Nasikia chato yote ipo under lockdown na inapuliziwa dawa.
Ok.
God Bless him
We jamaa mbona unajikanyaga hivi kwenye thread yako si umeandika mwenyewe kuwa maiti amefariki kwa covid!!?Hakuna aliyesema kafa kwa corona, huyo mtu kafa kivyake ila maiti inaogopwa
Haijapumzika ila covid 19 ndio ipo kwenye chat. Unaweza vunjika mguu lakini kabla ya tiba ukapimwa covid 19Hivi maralia imepumzika sahivi au?
Hatari kubwa kariakoo huyo ni maiti amekufa toka jana kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kumuondoa maiti huyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua kutokana na VIRUSI VYA COVID19 hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo
==
Punda fanyeni kazi mlipe kodi
View attachment 1432234