Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Ule utabiri wa mke wa Bill Gates unatimia sasa.. Afrika maiti zitazagaa mitaani

Jr[emoji769]
Acheni uzushi kuokotwa mtu mmoja barabarani!! tayari mmeshakuja na matarumbeta kama yote ku praise kauli ya Melinda!! try to be reasonable bro! unapoteza.....
Hata uthibitisho wa kifo PMR ya huyo marehemu huna!!!?
those are not the qualities of a GT....
but midiocres....
 
Kuna mtu nlikuwa nasikia kaongea ni kwamba.ni teja alikuwa kajidunga miunga mdo kavuta.
Sina uhakika.
#jikingennacovid_9
#inaua
 
Acheni uzushi kuokotwa mtu mmoja barabarani!! tayari mmeshakuja na matarumbeta kama yote ku praise kauli ya Melinda try to be reasonable bro unapoteza.....
Hata uthibitisho wa kifo PMR ya huyo marehemu huna!!!?
Hebu tulia kidogo.. Vuta pumzi... Tafakari kwanza kisha tolea maelezo hiyo maiti japo tangu jana saa tano mpaka muda huu haijaondoshww eneo la tukio.. Fanya hivyo tafadhali

Jr[emoji769]
 
Hebu tulia kidogo.. Vuta pumzi... Tafakari kwanza kisha tolea maelezo hiyo maiti japo tangu jana saa tano mpaka muda huu haijaondoshww eneo la tukio.. Fanya hivyo tafadhali

Jr[emoji769]
Issue hapa ni tarumbeta ulilobeba kusapoti kauli ya Melinda kwa kifo cha mtu mmoja ambaye hata hujui chanzo cha kifo chake.....
kubali hapa umepoteza point....
rekebika.....
 
mwanzo wa ngoma ni lele .... wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa Bill Gates kasema ikifika Juni Kama serikali za afrika hazitachukua hatua madhubuti maiti zitakua zimezagaa mitaani.sasa hapa kwetu hata Mei haijafika tumeanza kuokota maiti mitaani he ikifika hiyo Juni si balaa.
 
Kuwa basi Rais wewe,,, you're such an embicile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa Bill Gates kasema ikifika Juni Kama serikali za afrika hazitachukua hatua madhubuti maiti zitakua zimezagaa mitaani.sasa hapa kwetu hata Mei haijafika tumeanza kuokota maiti mitaani he ikifika hiyo Juni si balaa.
Unajuaje kafa kwa #covid19?
 
Mtu sawa hivi unatakiwa kuwa makini kuhusu mahali pa kufia usijifie hovyo hovyo popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…