Utabiri wa Melinda gates unaanza kutimia! View attachment 1432253
Hapo ndipo tuna pofeli..
Mnamnyima marehemu haki zake.
Muacheni afanyiwe uchunguzi kama ni corona au sio.
Na hata ikiwa ni corona sio kosa kufa kwa corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unqjuaje kama kafa kwa corona.Mke wa Bill Gates kasema ikifika Juni Kama serikali za afrika hazitachukua hatua madhubuti maiti zitakua zimezagaa mitaani.sasa hapa kwetu hata Mei haijafika tumeanza kuokota maiti mitaani he ikifika hiyo Juni si balaa.
Nguli huyu mama alisema kweliUle utabiri wa mke wa Bill Gates unatimia sasa.. Afrika maiti zitazagaa mitaani
Jr[emoji769]
Endelea kusubiri majibu kutoka kwa Ummy
Subiri majibu kutoka kwa ummyUnajuaje kafa kwa #covid19?
Na kwa namna hii kweli tutakufa kwa maelfu.mpaka leo watuwanajazana kwenye mazishi, madaladala,sokoni kwenye maharusi unadhani tupo siriaz kweli? Tutakufa wengi tuu manaa njia pekee ya kukwepa nikujifungia ndani sisi tumedharau hilo.
Ndo na wewe usubir hichoSubiri majibu kutoka kwa ummy
Naona katika watu mafala na mapimbi wa lumumba wewe ni namba moja,mtu kafa kwa corona alafu wewe unaleta upimbi hapa.Hiyo ni hofu tu
Hata kabla ya hapo Mtanzania alikuwa akikuta mtu kaanguka barabarani anakimbia kuogopa jinai
We umeshachagua pa kufia?Mtu sawa hivi unatakiwa kuwa makini kuhusu mahali pa kufia usijifie hovyo hovyo popote
Sifi
Hapa nakubaliana nawe.Afe corona au fangasi sawa. Cha msingi ni kuiwajibisha serikali kwa kushindwa kuwajibika.
Maiti inakaa masaa mengi (mjini) barabarani huu ni utu kweli?
teh teh teheeeeee!!Hivi kwanini watu ni wapumbavu namna hii????
Siku izi kila mtu akifa ni corona????
Ulaaaniwe mbwa wewe,,, naona Magufuli anakunyima usingizi,,,
Sent using Jamii Forums mobile app