Commander In Chief
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 315
- 730
ni bora ianzie huko lumumba labda akili zitawarudiAlifariki jana karibu na office za ccm lumumba
Mjinga utamjua tuuh hajifichi hatakidogo kumbaini
Sio kweli. Nimeiona hiyo habari vizuri huyo mzee alikaa hapo kijiweni siku mbili juani + bila kula na afya yake haikua nzuri (umri umeenda) so ni uzushi kusema amefariki kwa corona.
Acha uzushi we kiumbe utaishia pabaya. Achana na mkumbo wa youtube we kiumbe.. ohoo!!
Let's be POSITIVE!Amepimwa na kugundulika ana korona?
Nakuliana na wewe mkuu Bujibuji. Lakini vitu kama hivi hata kama sio COVID-19 ndio watu wanachukulia credit.Kamama kachawi tu kale Kama Karaba
[emoji1787][emoji1787]na wewe ni mwanalumumba!Mjinga utamjua tuuh hajifichi hatakidogo kumbaini
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Pamoja na hamu yetu ya kutaka kubrekisha ila tunaikosea serikali heshima.
Chatu ndo wapi kwenye hii jamuhuri?,pitia daftari zako kipindi hiki Cha likizo SI kubishana na watu wazima apa jukwani MBUZI WA MAGENGENI WEWE!!![emoji1787][emoji1787]na wewe ni mwanalumumba!
[emoji3][emoji3]Lumumba Kuna corona mwenyekiti kakimbilia Chatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ndugu zangu huko hii ngoma iliposhika mizizi na pia muda huu ilitakiwa niwepo huko so I know what's going on brother.Iko siku akili itakukaa sawa katika mazingira magumu!
You won't have to cry chimp.
Mkuu hawa vichaa wameanza kufa kipindi hiki cha Corona tu?Let's POSITIVE!
Hivi wale vichaa wanaozurura mitaa ya Kariakoo,Lumumba,Msimbazi na Kongo wakifa Nani huwa anachukua jukumu la kuwazika?
Serikali inatakiwa ije na Majibu sahihi kuhusu hii MAITI otherwise inazidi KULETA HOFU YA CORONA KWA WANANCHI NA TANZANIA NZIMA! Polisi, Jiji na Halmashauri zake wako wapi katika hili?
Mkuu hawa vichaa wameanza kufa kipindi hiki cha Corona tu?
Walipokuwa wakifa mitaani na kuzikwa na manispaa huko kabla mbona hatukuwa tunaletewa video kama hizi mkuu?
Corona ni hatari tuchukue tahadhari Ila vitu vingine hivi tunavikuza sisi wenyewe mkuu.
Mbona haikuwa hivi hapo nyumaHakuna aliyesema kafa kwa corona, huyo mtu kafa kivyake ila maiti inaogopwa
Nimesoma na nimemuelewa mkuu, unapotaka ufafanuzi wa hiyo maiti kuna maiti ngapi za hao vichaa zilizozikwa na manispaa hatukuhoji?Hapo umejibu bila kuelewa, msome tena jamaa kama una nia njema ya kumjibu.... soma kwa utulivu kisha urudi.
Sie kila anaeanguka na kufa ni corona.
Cha kujiuliza je mbona hivi visa vya watu kufa kiholela holela vimekua vingi?
Mana kuna watu watakuja kupinga hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app