Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Tatizo ni siasa na wanasiasa.
CCM wakitaka wawatoe Chadema inasema mkituchagua hamtaondolewa
 
HV Nani aliruhusu kituo Cha sheli kijengwe ktkt ya soko

Huu Ni upupambu Sana hiki tu ni kibaya Sana

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka mno


Sheli ktkt ya soko ,wangeenda kuweka karibu na ikulu Kama wao watataka
Kwanza umekurupuka, pale hakuna kituo cha mafuta

Pili hakuna soko pale

Tatu moto umeanzia mnadani
 
Daah haya maisha mkiwa na vijisenti kidogo tuu mnadharau wengine maisha ni kutegemeana wanaoleta mizigo Bandarini wanawategemea hao wauzaji ni vile hii chain kuijua mpaka uwe umesoma shule zinazoeleweka sio za magumashi kariakoo ni sehemu ya watu kununua na kutoka inshort maeneo mengi Tanzania hayapo kwenye mfumo sahihi kutokana na ongezeko la watu na huduma kuendelea kuwa Duni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…