Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Hilo eneo Lina historia mbaya sana ya moto,hapo kuna watu wanaenda kurudi sifuri.

Mwaka 2012 hapo mtaa wa Mkunguni panapowaka moto nje ya mnada wa spare parts za magari kuna bar ilishika moto ikateketea yote bahati nzuri moto haukuhamia kwengine.
 
Mimi huwa najiuliza! Ni matukio machache ambayo jeshi la Zima moto huwa linafakiwa kuzima moto.Na changamoto ninayoiona ni kutegemea magari ya Maji ambayo kama moto umetokea katika maeneo ambayo hayawezi kupita huwa hayana msaada wo wote!
Hivi Serikali haiwezi kununua ndege za Helkopita za Kuzima moto kama wenzetu huko duniani ambazo zinaweza kufika kwenye tukio haraka kuliko kutegemea haya magari ya Maji ambayo pengine yakikutana na foleni yanaweza kushindwa kufikia kwenye tukio kwa wakati?
 
Pale ni karibu sana na makao makuu ya jeshi la zimamoto na uokoaji aka "fire".

Hatutarajii watatuma gari isiyo na maji
It is so sad tuna 60 yrs ya uhuru- akuna fire fighting water network si Dodoma ambapo mji mkuu upo wala Dar wala Arusha😭😭😭Bila haya makitu kwenye mitaa na barabara zetu Daima tutawalaumu fire dept kwani atupo makini na mipango miji yetu
 

Attachments

  • 73A46EDB-B58E-414F-AD01-0519ABB96165.jpeg
    8.2 KB · Views: 1
  • AE486631-3E80-4D0A-A50A-92D1307D9999.jpeg
    9.7 KB · Views: 2
  • 7EA6CB3B-2C52-4CBD-8E3E-282894BEC58D.png
    26.6 KB · Views: 3
  • BD14F05F-C649-4650-B776-33A01E8DFE2D.jpeg
    6 KB · Views: 2
  • AF83CD85-58F7-401B-904A-6426F40DE9FA.png
    20.3 KB · Views: 2
Fire si ipo karibu tu hapo? Hao jamaa ningekuwa na Mamlaka ningewafuta tu.. hiyo kazi hawaiwezi wanakula hela za bure
 
Series za Matukio kuzima tukio.
Wachomaji ni waajiriwa kabisa wenye Namba za utambulisho.

Watu wanaumizwa Sana hii dunia.
Your browser is not able to display this video.
 
Miaka ya 80 Dar es salaam karibia yote ilikuwa ma network za maji kwa ajili ya kuzima moto! Mpaka manzese huko kulikuwa na hizi systems, pale kwenye gorofa za Urafiki kulikuwa na fire hydrants kila baada ya forofa moja! Nimetembelea Kigamboni kule kwenye miradi ya nyuma sijaona fire hydrants. Ata Kule Nungwi Zanzibar , Arusha sijaona, Dodoma pia sehem nyingi sijaona- Tanzania tutaendelea kufirisiwa na Majanga ya Moto mpaka pale tutakapo kuwa makini na mipango miji iliyokuwa sahihi
 

Attachments

  • 6F2E9B73-D1CE-4DC2-93AD-235CF7312599.jpeg
    8.2 KB · Views: 2
  • 7667ADC9-391F-4EAC-B98A-C8E72C9EF8C4.png
    26.6 KB · Views: 2
Haya makitu yanatakiwa yawepo kila mtaa! Gari za Zima moto ziweze jaza maji!. Kitendo cha maji yakiisha kwenda zaidi ya 10KM na kutumia Dakika zaidi ya 30 Kujaza maji uwezi zima moto, maana moto aukusibirii urudi na maji wenyewe utaendelea na kazi yake
 

Attachments

  • 2C29E989-3809-4177-BF01-2DA7179C4AA5.jpeg
    8.2 KB · Views: 1
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa! Hizo Fire hydrants sizioni kabisa.
 
Maji yapo ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…