Sina hili wala lile
New Member
- Apr 4, 2024
- 2
- 0
kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo
1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo
2. Kupunguza tozo za biashara
3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia wawekekezaji
1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo
2. Kupunguza tozo za biashara
3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia wawekekezaji